marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

BARRICK BULYANHULU YAFANIKISHA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SEKONDARI HALMASHAURI YA MSALALA

Written by mzalendo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, Khamis Katimba akifunga mafunzo hayo.
Afisa Elimu Halmashauri ya Msalala, Seleko Ntobi
Mmoja wa wakufunzi waliondesha mafunzo hayo akongea wakati wa hafla hiyo.
Mwakilishi wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, William Chungu, akiongea katika hafla ya kufunga mafunzo hayo.
Walimu walioshiriki mafunzo hayo wakifuatilia mada mbalimbali
Walimu walioshiriki mafunzo hayo wakifuatilia mada mbalimbali
Walimu walioshiriki mafunzo hayo wakifuatilia mada mbalimbali
**
Katika jitihada za kuinua kiwango cha elimu ya sekondari kwa kuinua ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya taifa kidato cha pili na nne, Halmashauri ya wilaya ya Msalala iliyopo mkoani Shinyanga kwa ufadhili wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu, imeendesha mafunzo kwa walimu 336 wa masomo ya sanaa na Lugha, kuhusu namna ya kufundisha kwa kuwajengea umahiri wanafunzi.
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo ya siku mbili , Afisa Elimu Halmashauri ya Msalala, Seleko Ntobi, amesema mafunzo waliyopatiwa walimu yatakuwa na manufaa makubwa katika sekta ya elimu na kuleta tija na matokeo mazuri .
“Kwa muda wa siku mbili tumepata mafunzo kutoka kwa timu ya wakufunzi wabobezi kutoka chuo cha ualimu SHYCOM, ambao wamekuwa msaada mkubwa sana kwa walimu wetu, kwani kabla ya mafunzo haya walikuwa hawana uelewa unaofanana katika kufundisha na kupima kwa kuzingatia umahili wa wanafunzi”, alisema Ntobi.
Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo ambaye alikuwa Mgeni rasmi katika hafla ya kufunga mafunzo hayo, Khamis Katimba, alisema baada ya Mafunzo hayo Halmashauri inatarajia kuona utofauti mkubwa wa ongezeko la ufaulu katika shule zote za Halmashauri hiyo.
“Nichukue nafasi hii kuwapongeza ndugu zetu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa kazi kubwa mnayoifanya hasa kwa kushirikiana na serikali katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo lakini niwaombe walimu wote mliopata mafunzo haya yakalete tija kwa wanafunzi wetu lakini mkawe wazazi pia huko shuleni Unyanyasaji wa kijinsia hautakiwi”, Katimba alisema.
Naye Mwakilishi wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu katika hafla hiyo, William Chungu alisema, Barrick itaendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kuboresha maisha ya wananchi hususani katika sekta za elimu na afya.
“Tunafurahi kuona jinsi Serikali inavyofanya jitihada za kuboresha maisha ya wananchi, nasi kama wawekezaji tutaendelea kuunga mkono jitihada za Serikali husuani katika suala la elimu ikiwemo kufanikisha miradi ya ujenzi wa miundo mbinu ya shule ili kuwawezesha wanafunzi kusomea katika mazingira rafiki”, alisema.
Nao baadhi ya walimu waliohudhuria na kushiriki mafunzo wamesema wamenufaika na wameahidi kwenda kuleta mabadiliko chanya katika ufundishaji na upimaji wa wanafunzi wanaowafundisha.
Barrick Bulyanhulu pia imekuwa ikitekeleza Mpango wa kuinua ufaulu shuleni wa wanafunzi wa sekondari (Performance Improvement Program (PIP) kwa kushirikiana na Halmashauri za Nyang’hwale na Msalala kwa lengo la kufanikisha kupata matokeo mazuri kwa kuongeza idadi ya ufaulu wa wanafunzi wilayani kwenye wilaya hizo kupitia fedha za uwajibikaji kwa jamii (CSR) zinazotolewa na mgodi huo.

About the author

mzalendo