slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

jojobet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

meritking giriş

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

tipobet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

Piabet

tipobet

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

vdcasino

sekabet

grandpashabet

matbet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

queenbet

Uncategorized

BARAZA LA WAFANYAKAZI TACAIDS LAFANYIKA NA KUPATA VIONGOZI WAPYA

Written by mzalendo

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt Jerome Kamwela akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi lilofanyika tarehe 16Februari,2024 Jijini Dodoma.

……………..

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania -TACAIDS Dkt Jerome Kamwela, ameongoza kikao cha Baraza la wafanyakazi la Tume hiyo, kilichofanyika tarehe 16Februari,2024 jijini Dodoma, ambapo alichukua nafasi hiyo kuongoza uchaguzi wa upatikanaji wa Katibu na Katibu msaidizi.

Katika Uchaguzi huo majina pendekezwa yalikuwa ni mawili ambayo ni Bi.Jaqline Lema na Dkt Hassan Ishabairu, baada ya kura kupigwa, Dkt Hassani Ishabairu alishinda kuwa Katibu wa Baraza la wafanya kazi la Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania -TACAIDS.

Baada ya uchaguzi huo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt Jerome Kamwela, aliwataka wajumbe wa baraza la wafanyakazi la TACAIDS kushiriki kikamilifu kwa kuchangia na kujadili hoja muhimu  zitakazopelekea uboreshaji na ufanisi wa majukumu ya Tume.

Amesisitiza kuwa kikao hiki ni muhimu kwa taasisi yetu hivyo kila mtumishi azungumze bila hofu kwa lengo la kuboresha utendaji kazi  katika maeneo yetu na kuleta umoja, mshikamano na upendo katika maeneo ya kazi. 

Kupitia kikao hicho wafanyakazi bora tisa wa TACAIDS wa mwaka 2023 wamepatiwa zawadi kwa mujibu wa taratibu za chama cha wafanyakazi.

Aidha Mkurugenzi wa Idara ya Sera, Mipango na Utafiti Bw. Godfrey Godwin aliwasilisha Mapitio ya utekelezaji wa Bajeti ya Tume ya mwaka 2022/23, Mapitio ya Utekelezaji wa Bajeti ya Tume ya mwaka 2023/24 kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Disemba 2023 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Tume ya mwaka  wa Fedha 2024/25. 

 Wakuu wa Idara na vitengo wamewasilisha mipango ya bajeti ya Idara zao ambayo wameipanga kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Tume mwaka wa fedha 2024/25 ambapo wajumbe walipata nafasi ya kujadili na kupitisha mipango hiyo.

Baada ya Mawasilisho hayo Baraza la wafanyakazi limepitisha bajeti hiyo ya mwaka 2024/25 kwa hatua  nyingine Zaidi, Mwakilishi wa TUGHE Taifa na mjumbe wa kamati ya utekelezaji TUGHE Taifa Dr. Allan Masanja amesema TACAIDS imefanya kazi nzuri kupitia taarifa zake ilizowasilisha na amewapongeza kwa ubunifu katika utekelezaji wa majukumu yake.

Amewataka kutekeleza bajeti kwa ufanisi ambayo wameiandaa kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwani pamoja na kazi kubwa ambayo inatekelezwa na Tume hiyo kwa ufanisi bado kuna kazi kubwa ya kufanya kwakuwa jamii kubwa bado inahitaji huduma kutoka TACAIDS.

“Tunawapongeza mnavyojitahidi kuhakikisha Taifa letu linapata elimu ya kujikinga na maambuzi ya VVU lakini bado kuna jamii kubwa ambayo bado inawahitaji kupata huduma yenu,hasa sehemu za vyuo na maeneo yenye uhatarishi wa kupata maambukizi ya vvu”alisema Allan Masanja

Aidha amewataka watendaji wa TACAIDS kudumisha upendo na nidhamu mahala pa kazi na kuchapa kazi ili malengo yaliyowekwa kufikia asilmia 100, ikiwa ni pamoja na  kutoruhusu vishawishi vya rushwa kwani ni adui wa haki . 

Katibu wa chama cha wafanyakazi Mkoa wa Dodoma (TUGHE) Bw. Samweli Nyungwa amewapongeza wafanyakazi wote waliopatiwa vyeti na zawadi za wafanyakazi bora na kuwataka wahakikishe zawadi hizo wanaendelea kuzitendea haki kwa kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt Jerome Kamwela akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi lilofanyika tarehe 16Februari,2024 Jijini Dodoma.

Katibu wa chama cha wafanyakazi Mkoa wa Dodoma (TUGHE) Bw. Samweli Nyungwa akitoa ufafanuzi juu ya umuhimu wa baraza la wafanyakazi kuwa lipo kwa mujibu wa sheria ambalo ni agizo la Rais No.1 la mwaka 1970 ambalo kazi zake ni pamoja na kuishauri serikali katika shuhghuli zake na kuhakikisha watumishi wa serikali wanashirkikishwa kwenye shughuli za kiserikali.

Mkurugenzi wa fedha na Utawala Bw.Yasin Abas akifafanua maswauala ya Kiutumishi baada ya kuwasilisha Bajeti ya Idara yake.

Mmoja wa washindi wa wafanyakazi bora Bw. Geofrey Mabu akikabidhiwa Cheti na fedha Taslim, anayempongeza ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt Jerome Kamwela, aliyesimama katikati ni Mwakilishi wa TUGHE Taifa na mjumbe wa kamati ya utekelezaji TUGHE Taifa Dr. Allan Masanja na Mwisho kabisa Naibu Katibu wa Baraza la wafanyakazi TACAIDS Bi Jacqline Lema.

Mkurugenzi wa Idara ya Sera, Mipango na Utafiti Bw. Godfrey Godwin aliwasilisha Mapitio ya utekelezaji wa Bajeti ya Tume ya mwaka 2022/23, Mapitio ya Utekelezaji wa Bajeti ya Tume ya mwaka 2023/24 kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Disemba 2023 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Tume ya mwaka  wa Fedha 2024/25.

Mmoja wa watumishi Bw. Enrico Kawanga akichangia namna Tume inaweza kutumia maandiko ya kiushawishi kusaidia  upatikanaji wa vyanzo vya fedha za Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI –ATF, baada ya wasilisho la bajeti ya Idara ya Fedha na Utawala.

Baadhi ya watumishi walioshiriki kwenye kikao cha Baraza la wafanyakazi la TACAIDS kilichofanyika tarehe 16Februari,2024 jijini Dodoma.

About the author

mzalendo