Featured Kitaifa

DKT. NCHIMBI ASHIRIKI ZOEZI LA KUAGA MWILI WA HAYATI EDWARD LOWASSA, MONDULI MKOANI ARUSHA

Written by mzalendoKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi, katika picha za matukio mbalimbali kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, ikiwa ni pamoja kushiriki ibada ya mazishi, utoaji wa heshima za mwisho, kuweka mchanga kwenye kaburi na kuweka shada la maua, ikiwa ni sehemu ya shughuli ya kumsindikiza Hayati Lowassa katika safari yake ya mwisho duniani, iliyofanyika leo Jumamosi, Februari 17, 2024, Kijiji cha Ngarash, Monduli, mkoani Arusha.

About the author

mzalendo