Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

MAAFISA FORODHA NA WASIMAMIZI WA SHERIA MIPAKANI WAHIMIZWA USIMAMIZI WA KEMIKALI ZINAZOHARIBU TABAKA LA OZONI

Written by mzalendo

Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Catherine Bamwenzaki akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Maafisa Forodha na Wasimamizi wa Sheria waliopo Mpaka wa Sirari Mkoani Mara leo( Jumamosi Februari 17, 2024) wakati wa mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza tarehe 17 hadi 18 Februari, 2024 yanayolenga kujenga uelewa kuhusu kudhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazoharibu tabaka la ozoni.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Catherine Bamwenzaki akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Maafisa Forodha na Wasimamizi wa Sheria waliopo Mpaka wa Sirari Mkoani Mara leo( Jumamosi Februari 17, 2024) wakati wa mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza tarehe 17 hadi 18 Februari, 2024 yanayolenga kujenga uelewa kuhusu udhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazoharibu tabaka la ozoni. Katikati ni Meneja Msaidizi wa Forodha, Mkoa wa Mara Bw. Said Hemed na Afisa Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mhandisi George Ngoso

Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo kuhusu udhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazoharibu tabaka la ozone wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo Jumamosi tarehe 17-18 Februari, 2024 katika Mpaka wa Sirari Mkoani Mara.

Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo kuhusu udhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazoharibu tabaka la ozone wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo Jumamosi tarehe 17-18 Februari, 2024 katika Mpaka wa Sirari Mkoani Mara.

Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo kuhusu udhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazoharibu tabaka la ozone wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo Jumamosi tarehe 17-18 Februari, 2024 katika Mpaka wa Sirari Mkoani Mara

Mkufunzi kutoka Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) Mbegani, Bagamoyo Pwani akifuatilia wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo Jumamosi tarehe 17-18 Februari, 2024 katika Mpaka wa Sirari Mkoani Mara. Wengine pichani ni Maafisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Jeniva Olengeile na Bi. AnnaMaria Gerome.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Catherine Bamwenzaki (katikati mstari wa mbele) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo (wa pili kulia) pamoja na washiriki mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo leo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo Jumamosi tarehe 17-18 Februari, 2024 katika Mpaka wa Sirari Mkoani Mara.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Catherine Bamwenzaki (katikati mstari wa mbele) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo (wa pili kulia) pamoja na washiriki mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mafunzo kuhusu udhibiti wa uingizaji nchini wa kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni leo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo Jumamosi tarehe 17-18 Februari, 2024 katika Mpaka wa Sirari Mkoani Mara.

Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Dustan Shimbo akizungumza jambo wakati akiwasilisha mada kuhusu Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (Kanuni za Kudhibiti Kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni) za mwaka 2022 kwa Maafisa Forodha na Wasimamizi wa Sheria Mipakani kuhusu udhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni leo Jumamosi tarehe 17-18 Februari, 2024 katika Mpaka wa Sirari Mkoani Mara.

Mkaguzi wa Madawa kutoka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), Bw. Frank Mhini akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Maafisa Forodha na Wasimamizi wa Sheria waliopo Mpaka wa Sirari Mkoani Mara leo( Jumamosi Februari 17, 2024) wakati wa mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza tarehe 17 hadi 18 Februari, 2024 yanayolenga kujenga uelewa kuhusu kudhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazoharibu tabaka la ozoni.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Na Mwandishi Wetu,-OMR- SIRARI,

 

SERIKALI imewataka maafisa forodha na wasimamizi wa sheria mipakani kuendelea kuimarisha usimamizi na udhibiti wa kemikali zinazodhibitiwa zinazochangia kumong’onyoa tabaka la ozoni kunakochangia ongezeko la joto duniani na husababisha mabadiliko ya tabianchi.

Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi katika hotuba yake iliyosomwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira, Mhandisi Catherine Bamwenzaki wakati akifungua Mafunzo ya Maofisa Forodha na Wasimamizi wa Sheria mipakani kuhusu udhibiti wa uingizaji wa kemikali zinazodhibitiwa chini ya Itifaki ya Montreal leo Jumamosi Februari 17, 2023 katika ukumbi wa Mpaka wa Sirari, Mkoani Mara.

Mitawi ametoa rai kwa washiriki wa mafunzo hayo kuwa mabalozi wa kueneza elimu ya ozoni kwa wadau wengine ili kuongeza uelewa na juhudi za pamoja katika kuhifadhi tabaka la ozoni, na hivyo kuokoa maisha ya binadamu, wanyama na viumbe hai mbalimbali duniani.

“Kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni ni kemikali/gesi zinazotumika katika majokofu na viyoyozi mbalimbali, vifaa vya kuzimia moto, usafishaji chuma, utengenezaji magodoro. Ni wajibu wetu kama Maafisa wa Serikali katika maeneo ya mipaka tusimamie vyema sheria ili kujikinga na madhara ya kemikali hizi” amesema Mitawi.

Kwa mujibu wa Mitawi ametaja madhara ya uharibifu wa tabaka la ozone ni pamoja na  kuongezeka kwa magonjwa mbalimbali yakiwemo saratani ya ngozi, mtoto wa jicho, upungufu wa kinga dhidi ya maradhi na kujikunja kwa ngozi na kuathirika kwa ukuaji wa mimea.

Ameongeza kuwa kutokana na madhara ya kemikali hizo, Serikali imekuwa ikiendesha mafunzo kwa wasimamizi wa sheria na maafisa wa forodha mipakani kwa kuzingatia kuwa ndio wahusika wakuu katika kudhibiti uingizaji wa bidhaa mbalimbali mipakani zikiwemo kemikali hizo katika maeneo yao ya kazi.

Akiwasilisha Mada kuhusu Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (Kanuni za Kudhibiti Kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni) za mwaka 2022, Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo amesema katika kutekeleza Itifaki ya Montreal, Serikali imekuwa ikitekeleza shughuli mbalimbali iliwemo Mpango wa Kuondosha Kemikali Zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni Jamii ya Hydrochlorofluorocarbons (HCFCs) ifikapo mwaka 2030.

Ameongeza kuwa Serikali ipo katika maandalizi ya Mpango wa utekelezaji wa Marekebisho ya Kigali ya kupunguza matumizi ya kemikali jamii ya hidrofluorokaboni ambapo mojawapo ya shughuli zinazotelekezwa ni pamoja na kutoa mafunzo kwa Maafisa wa Serikali walioko mipakani ikiwa ni utekelezaji wa Kanuni za Usimamizi wa Mazingira za mwaka 2022.

Kwa upande wake, Afisa Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mhandisi George Ngoso amesema suala udhibiti wa kemikali na vifaa vya kemikali linahitaji nguvu ya pamoja vaina ya wadau waliopo katika mnyororo wa thamani ili kulinda afya za binadamu na mazingira.

Mhandisi Ngoso amesema ni wajibu wa mawakala wa forodha waliopo mipakani kujifunza teknolojia mpya ya ukaguzi wa mizigo ikiwemo bidhaa za kemikali kuendelea na usimamizi na udhibiti wa kemikali zinazodhibitiwa kwa kuzingatia ukomo wa matumizi wa kemikali hizo.

“Mnapaswa kuwa wazalendo na kutanguliza maslahi ya taifa na jamii inayowazunguka, madhara ya uingizaji wa bidhaa hizi unaweza kuleta athati kuwa kwa afya za binadamu na mazingira, hivyo tunapaswa kuhakikisha kuwa tunadhibiti kemikali hizi kutoweza kuingia katika jamii yetu” amesema Ngoso.

Tanzania ni nchi mwanachama wa Mkataba wa Vienna unaohusu hifadhi ya Tabaka la Ozoni na Itifaki ya Montreal kuhusu udhibiti wa kemikali zinazoharibu tabaka la ozoni ambapo Mkataba huo iliridhiwa na nchi mwaka 1993.

Katika mafunzo hayo washiriki hao walielimishwa kuhusu Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (Kanuni za Kudhibiti Kemikali zinazoharibu Tabaka la Ozoni) za mwaka 2022, Sayansi ya Ozoni na athari zitokanazo na uharibifu wa tabaka la ozoni, Matumizi ya Mitambo ya Kutambua Gesi zinazoharibu Tabaka la Ozoni.

Jumla ya Mawakala wa forodha na Wasimamizi wa Sheria 25 waliopo katika Mpaka wa Sirari, Mkoani Mara walishiriki mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza  tarehe 17 hadi 18, 2024 na kuandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

About the author

mzalendo