Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet

superbetin

superbetin

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

kingroyal

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

tambet

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

kingroyal

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

deneme bonusu

Featured Kitaifa

TANZANIA YAJIPANGA KUWA GHALA LA CHAKULA DUNIANI

Written by mzalendo
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akifungua Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu kwa Mwaka 2024 kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wenye kaulimbiu,”Kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050; Kuongeza Kasi ya Uchumi Himilivu na Maendeleo Jumuishi katika Nyakati Zisizotabirika”, umehudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali, Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
 
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Kundi la Washirika wa Maendeleo nchini, Bw. Zlatan Milišić, akizungumza wakati wa Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu Mwaka 2024 kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wenye kaulimbiu,”Kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050; Kuongeza Kasi ya Uchumi Himilivu na Maendeleo Jumuishi katika Nyakati Zisizotabirika”, umehudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali, Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI) pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
 
Wadau wa Maendeleo wa makundi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Hayupo pichani), wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu Mwaka 2024 kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wenye kaulimbiu,”Kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050; Kuongeza Kasi ya Uchumi Himilivu na Maendeleo Jumuishi katika Nyakati Zisizotabirika”, umehudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali, Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bw. Lawrence Mafuru, akitoa mada kuhusu, Dira ya Maendeleo ya Tanzania: Mapitio ya Dira ya 2025 na Uundaaji wa Dira ya 2050, wakati wa Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu kwa Mwaka 2024 kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wenye kaulimbiu,”Kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050; Kuongeza Kasi ya Uchumi Himilivu na Maendeleo Jumuishi katika Nyakati Zisizotabirika”, umehudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali, Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI) pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia), akiteta jambo na , wakati wa Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu Mwaka 2024 kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wenye kaulimbiu,”Kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050; Kuongeza Kasi ya Uchumi Himilivu na Maendeleo Jumuishi katika Nyakati Zisizotabirika”, umehudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali, Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (katikati walioketi), Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Kundi la Washirika wa Maendeleo nchini, Bw. Zlatan Milišić (wa pili kulia walioketi), Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Kemi Williams (wa kwanza kushoto walioketi), Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), Dkt. Lilian Badi na Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto – ZANZIBAR, Bi. Abeida Rashid Abdallah (wa kwanza kulia walioketi), wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na baadhi ya wawakilishi wa Makatibu Wakuu waliohudhuria Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu kwa Mwaka 2024 kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wenye kaulimbiu,” Kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050; Kuongeza Kasi ya Uchumi Himilivu na Maendeleo Jumuishi katika Nyakati Zisizotabirika”, umehudhuriwa na Wadau wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali, Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (katikati walioketi), Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Kundi la Washirika wa Maendeleo nchini, Bw. Zlatan Milišić (wa pili kulia walioketi), Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Bi. Kemi Williams (wa kwanza kushoto walioketi), Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), Dkt. Lilian Badi na Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto – ZANZIBAR, Bi. Abeida Rashid Abdallah (wa kwanza kulia walioketi), wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Maendeleo kutoka nchi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu kwa Mwaka 2024 kati ya Serikali na Wadau hao, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wenye kaulimbiu,”Kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050; Kuongeza Kasi ya Uchumi Himilivu na Maendeleo Jumuishi katika Nyakati Zisizotabirika”, umehudhuriwa pia na wadau kutoka Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), pamoja na viongozi waandamizi wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
 (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha-Dar es Salaam)
………….
Na Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, Dar es Salaam
 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, ametoa wito kwa Wadau wa Maendeleo kushirikiana na Tanzania kupanga mikakati itakayosaidia kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula kwa kuboresha mifumo yake ya uzalishaji na kuiwezesha nchi kujitosheleza kwa chakula na kuwa kitovu cha uzalishaji wa chakula duniani.
 

Dkt. Mwamba ametoa wito huo jijini Dar es Salam wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo ngazi ya Wataalam uliowashirikisha wadau wa maendeleo wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), na Viongozi waandamizi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

 

Alisema kuwa dunia imepitia kipindi cha ukosefu mkubwa wa uhakika wa chakula kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na umaskini, mabadiliko ya hali ya hewa na kukosekana kwa utulivu wa kisiasa katika baadhi ya nchi duniani.
 
“Tanzania ina uwezo wa kuwa kitovu cha uzalishaji na ghala la chakula katika eneo la Afrika Mashariki, Afrika na dunia kwa ujumla ingawa uwezo huu bado haujatumika ipasavyo”, alibainisha Dkt. Mwamba.
 
Dkt. Mwamba ambaye ni Mwenyekiti wa Mkutano huo alisema Serikali ina miradi mingi ya kubadilisha Sekta ya Kilimo, kwa kuanzia na Ajenda 10/30 kupitia Mpango wa Vijana wa Kujenga Kesho Bora (BBT) ambayo inalenga kuzalisha ajira zaidi ya milioni 1.5 na sekta hiyo inakadiriwa itachangia ukuaji wa uchumi wa Taifa kwa asiliasilimia 10 ifikapo mwaka 2030.
 
Alisema kuna umuhimu wa Serikali na washirika wa maendeleo kuweka mikakati ya pamoja kwa ajili ya upangaji, upatikanaji wa rasilimali na mifumo ya uwekezaji ili kuwezesha ukuaji wa maendeleo ya uchumi jumuishi wa Tanzania.
 
Aidha, Dkt. Mwamba alisema mkutano huo ni muhimu kwa kuwa umelenga kujadili kimkakati masuala mtambuka yatakayokuwa na mapendekezo yatakayochagiza utekelezaji wa vipaumbele vilivyoelezwa katika Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa awa Miaka Mitano, hususan katika kufikia uchumi jumuishi na wenye ushindani, kuimarisha viwanda na utoaji wa huduma, kuhamasisha uwekezaji na biashara pamoja na kukuza uwezo na ujuzi wa rasilimali watu.
 
“Kupata maendeleo ya haraka kunategemea zaidi uwezo na ubora wa rasilimali watu. Katika jitihada zetu za kudumisha kubaki na hadhi ya Nchi ya Kipato cha Kati cha Chini na kuendeleza nchi kuelekea kiwango cha juu zaidi cha maendeleo, lazima tuwe na mikakati na kipaumbele cha kukuza na kuimarisha maendeleo ya rasilimali watu hususan, kukuza vipaji, kuendeleza ujuzi, kujenga mazingira rafiki yanayostawisha ubunifu, ujasiriamali, na kuimarisha upatikanaji wa mali”, alisema Dkt. Mwamba.
 
Aliongeza kuwa katika tekeleza vipaumbele vya Taifa, suala la ufadhili ni muhimu, hivyo alihimiza juhudi za pamoja katika kutafuta rasilimali zenye masharti nafuu ili nchi kuweza kufikia vipaumbele vilivyokusudiwa.
 
Aidha, aliwashukuru wadau wa maendeleo kwa michango mbalimbali wanayoitoa katika kuimarisha uchumi wa nchi ulioathiriwa na migogoro ya kimataifa.
 
Alisema moja ya njia muhimu ya kutoa misaada kama hiyo ni kwa njia ya Misaada ya Kibajeti (GBS)ambapo wamekuwa wakitoa fedha moja kwa moja kuchangia Bajeti ya Serikali hivyo kuongeza hali ya umiliki, uwajibikaji na kusaidia kupunguza gharama za uendeshaji wakati wa utekelezaji wa miradi na programu za kimkakati.
 
Kwa upande wake Mwakilishi Mkazi na Mratibu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti mwenza wa Washirika wa Maendeleo Nchini, Bw. Zlatan Milisic aliunga mkono jitihada za Serikali za kujiimarisha katika uzalishaji wa chakula.
 
Alisema kuwa uimarishaji wa mifumo ya chakula na lishe nchini unahitaji mbinu bora za zinazoendana na hali ya hewa, mabadiliko ya kidijitali, upanuzi wa kimkakati wa uzalishaji wa chakula, uhifadhi na usambazaji, usimamizi wa opotevu wa mazao wakati na baada ya mavuno na usaidizi zaidi kwa wakulima wadogo. 
 
Bw. Milisic alisema kuwa Tanzania itaweza kupata maendeleo ya kijamii na kiuchumi ikiwa itashirikiana na wadau wa maendeleo katika kukuza rasilimali watu, kwa kuwekeza kwa vijana, kutoa fursa kubwa kwa wanawake na wasichana, kupata elimu na afya bora pamoja na kuwawezesha wananchi wote kutambua uwezo wao kikamilifu.
 
Bw. Milisic alisema wadau wa maendeleo wanaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuendelea kuchukua jitihada mbalimbali katika kuimarisha sekta hiyo ya kilimo ikiwa ni pamoja na kuongeza bajeti ya kilimo kutoka shilingi bilioni 294 miaka michache iliyopita hadi kufikia shilingi bilioni 954 kwa mwaka ahatua mbayo alisema itaimarisha ukuaji wa uchumi na lishe.
 
Alisisitiza kuwa kilimo bado ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania, kikichangia takribani asilimia 28 katika Pato la Taifa na kuajiri zaidi ya asilimia 65 ya watu, wengi wao wakiwa wanawake na vijana. 
 
Aidha, aliipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mh. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua kubwa iliyofikiwa ya kufanya mijadala kwa ajili ya kuendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini.
 
Kwa upande wao, Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Bw. Raphael Maganga na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), Dkt. Lilian Badi, waliipongeza Serikali kwa mipango mbalimbali inayoendelea ya kuboresha mazingira ya baiashara, kukuza ajira, kupunguza umaskini na kukuza uchumi kwa ujumla. 
 
Waliishauri Serikali iendelee kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, kuimarisha usalama wa chakula kupitia sekta za kilimo, afya, miundombinu ya umeme wa uhakika na unaotosheleza pamoja na kuimarisha matumizi ya ubunifu na teknolojia katika kuendesha uchumi wa nchi.

About the author

mzalendo