RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake CEO wa Shirika la Marekani Linalojihusisha na Kustawisha Maisha ya Wazee (AARP) Bi. Jo Ann C.Jenkins, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 9-2-2024.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake CEO wa Shirika la Marekani linalojihusisha na Kustawisha Maisha ya Wazee (AARP) Bi. Jo Ann C.Jenkins (kulia kwa Rais) akiwa na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Help Age Tanzania Bw. Smart Daniel,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-2-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Marekani la (AARP) ukiongozwa na CEO wa Shirika hilo Bi. Jo Ann C. Jenkins.(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)

Previous articleTANZANIA YAJIPANGA KUWA GHALA LA CHAKULA DUNIANI
Next articleWAGONJWA WA MOYO ZAIDI YA 800 WAFANYIWA UPASUAJI MKUBWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here