Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Poland Andrzej Duda pamoja na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ziara ya Rais wa Poland Andrzej Duda tarehe 09 Februari, 2024.
 Rais wa Poland Andrzej Duda akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ziara yake nchini Tanzania tarehe 09 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Rais wa Poland Andrzej Duda mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
Rais wa Poland Andrzej Duda akiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana alichomuandalia mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Marais Wastaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein na Amani Abeid Karume pamoja na Spika Mstaafu Anne Makinda wakiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.    
 Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Previous articleBENKI YA NMB KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Next articleTANZANIA YAJIPANGA KUWA GHALA LA CHAKULA DUNIANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here