marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

escort bayan

imajbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

casibom

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

trendbet giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

padişahbet giriş

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

vaycasino giriş

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

bahis siteleri

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

eminevim

tipobet

tipobet giriş

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

Featured Kitaifa

AMREF HEALTH AFRICA YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa (kulia) akikabidhi moja ya baiskeli maalum kwa ajili ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Shirika la Amref Health Africa nchini Tanzania, kupitia mradi wake wa Thamini Uzazi Salama, limekabidhi vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga, kwa lengo la kuboresha huduma za afya ya uzazi kwa mama na mtoto, hasa katika maeneo ya vijijini na yaliyo pembezoni.
 
Vitendea kazi hivyo ni pamoja na baiskeli 56, makoti ya mvua, mabuti, fulana na mabegi ya kitaalamu, ambavyo vitawawezesha wahudumu hao kutoa huduma kwa ufanisi zaidi hata katika mazingira yenye changamoto za hali ya hewa na miundombinu.
 
Makabidhiano hayo yamefanyika Julai 1, 2025 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, amelishukuru Shirika la Amref Tanzania kwa msaada wa vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, akibainisha kuwa vifaa hivyo vitaongeza ufanisi katika utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi.
“Serikali inatambua mchango wa wadau wa maendeleo, wakiwemo Amref Tanzania, katika kuhakikisha afya za wananchi hususan wanaoishi vijijini na maeneo ya pembezoni zinaimarika. Tutaendelea kushirikiana nao ili kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto,” amesema Mhe. Mhita.

 

Aidha, ameeleza kuthamini juhudi za Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii katika kuhakikisha ustawi wa wananchi, hususan wanawake wajawazito na watoto wachanga.
 
“Tunatambua kazi kubwa inayofanywa na Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, ikiwemo kufuatilia hali za wajawazito, kutoa elimu ya afya, kufanya rufaa na kukusanya taarifa muhimu za kiafya. Tunaamini vifaa hivi vitaongeza ufanisi wa kazi hiyo muhimu, kwa lengo la kupunguza vifo vya kina mama na watoto wachanga,” ameongeza Mhe. Mhita.
“Serikali inatoa shukrani za dhati kwa wadau wetu  Amref Tanzania na Buffalo Bicycles Tanzania  kwa kuunga mkono jitihada za kuboresha afya ya uzazi, mama na mtoto. Tunawashukuru pia Serikali ya Canada kupitia Global Affairs Canada (GAC) kwa ufadhili, pamoja na UNFPA kwa usimamizi wa mradi huu. Vilevile, naipongeza timu nzima ya wasimamizi wa huduma za afya ngazi ya mkoa na halmashauri kwa ushirikiano mzuri katika utekelezaji wa shughuli hizi,” ameongeza Mhe. Mhita.
 
Kwa upande wake, Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa, ameeleza kuwa vifaa hivyo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa Thamini Uzazi Salama, unaofadhiliwa na Global Affairs Canada (GAC) na kusimamiwa na UNFPA.
Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa akizungumza.
“Mradi huu unalenga kupunguza vifo vya akina mama na watoto wachanga kwa kuboresha upatikanaji wa huduma salama za uzazi kupitia wakunga wenye ujuzi, vituo vya afya vilivyoimarika na wahudumu walioko karibu na jamii,” amesema Dkt. Mkuwa.
Ameongeza kuwa baiskeli hizo ni mchango kutoka Shirika la Buffalo Bicycles, ikiwa ni sehemu ya ushirikiano wa kimkakati wa kusaidia wahudumu wa afya kuwafikia wananchi kwa urahisi na haraka zaidi.
Meneja Tathmini na Ufuatiliaji wa Shirika la Buffalo Bicycles Rehema Richard amesema :“Tunaamini kuwa baiskeli bora ni daraja muhimu kwa mtoa huduma kufika kwa mlengwa kwa wakati. Kupitia ushirikiano huu na Amref, tunachangia mabadiliko ya kweli katika maisha ya Watanzania wengi.”
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Yudas Ndungile, ameishukuru Amref Tanzania na wadau wake kwa msaada huo, akisisitiza umuhimu wa wahudumu kutumia vifaa hivyo kwa uadilifu:
“Naomba mtumie vifaa hivi kwa malengo yaliyokusudiwa ili kuwafikia wananchi kwa wakati, kuimarisha huduma za afya ya uzazi, na kusaidia katika usajili wa kaya kwenye Bima ya Afya iliyoboreshwa”,amesema.
Wahudumu waliopokea vifaa hivyo tayari wamepatiwa mafunzo ya kutumia simu janja na programu ya LEAP, ambayo inawasaidia kupata elimu ya afya kwa njia ya kidijitali, kutoa elimu kwa jamii, kusaidia mfumo wa rufaa na kukusanya taarifa muhimu za kiafya.
Mradi wa Thamini Uzazi Salama unatekelezwa katika mikoa ya Dar es Salaam na Shinyanga, ukilenga kuongeza idadi ya wakunga wenye ujuzi, kuimarisha huduma rafiki kwa mama na mtoto na kushirikisha jamii kwa kina katika matumizi ya huduma za afya ya uzazi kwa wakati.
Amref Health Africa inaendelea kushirikiana na Wizara ya Afya, TAMISEMI na wadau wengine kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anapata huduma bora za afya.
Kuboresha afya ya mama na mtoto na kuimarisha mifumo ya afya ya jamii ni msingi wa kujenga taifa lenye afya bora na ustawi endelevu.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga vilivyotolewa na Shirika la Amref Health Africa nchini Tanzania, kupitia mradi wake wa Thamini Uzazi Salama. Picha zote na Kadama Malunde
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga vilivyotolewa na Shirika la Amref Health Africa nchini Tanzania, kupitia mradi wake wa Thamini Uzazi Salama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga vilivyotolewa na Shirika la Amref Health Africa nchini Tanzania, kupitia mradi wake wa Thamini Uzazi Salama.
Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga vilivyotolewa na Shirika la Amref Health Africa nchini Tanzania, kupitia mradi wa Thamini Uzazi Salama.
Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga vilivyotolewa na Shirika la Amref Health Africa nchini Tanzania, kupitia mradi wa Thamini Uzazi Salama.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya vitendea kazi kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga vilivyotolewa na Shirika la Amref Health Africa nchini Tanzania, kupitia mradi wa Thamini Uzazi Salama.
Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa (kulia) akikabidhi moja ya baiskeli maalum kwa ajili ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita.
Meneja Tathmini na Ufuatiliaji wa Shirika la Buffalo Bicycles Rehema Richard akielezea kuhusu baiskeli maalum kwa ajili ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga
Meneja Tathmini na Ufuatiliaji wa Shirika la Buffalo Bicycles Rehema Richard akielezea kuhusu baiskeli maalum kwa ajili ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga.
Mmoja wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga akipokea vitendea kazi
Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa (kulia) akikabidhi vitendea kazi kwa ajili ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita.
Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Amref Health Africa nchini Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa (kulia) akikabidhi vitendea kazi kwa ajili ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita.
 
Mmoja wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga akipokea vitendea kazi
Mmoja wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs) mkoani Shinyanga akipokea vitendea kazi

About the author

Alex Sonna