Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

kingroyal

jojobet

holiganbet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

piabellacasino

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino giriş

pashagaming giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

pashagaming

piabellacasino giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mavibet giriş

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

maxwin

betpark

sahabet

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

royalbet

pashagaming

artemisbet

sahabet güncel giriş

Featured Kitaifa

DKT.MPANGO AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA KARUME ZANZIBAR

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Mpilipili Doria katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar wakati wa zoezi la upandaji miti kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar kuongoza zoezi la upandaji miti ili kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimwagilia mti aina ya Mpilipili Doria mara baada ya kuupanda katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar wakati wa zoezi la upandaji miti kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09 Februari 2024.

 

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mbonimpaye Mpango akimwagilia mti aliyoupanda katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar wakati wa zoezi la upandaji miti kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi, wahadhiri pamoja na wanafunzi mbalimbali mara baada ya zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar tarehe 09 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar mara baada ya zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wahadhiri wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar mara baada ya zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09 Februari 2024.

…………..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ni lazima kufanya jitihada za dhati kukabiliana na uharibifu wa mazingira ili kuepukana na athari za mabadiliko ya tabianchi yanayoathiri uchumi kwa kiasi kikubwa.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiongoza zoezi la upandaji miti kuhamasisha utunzaji wa mazingira lililofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume iliyopo Unguja – Zanzibar.  Amesema suala la mazingira linagusa sekta zote muhimu za kijamii hivyo ni jukumu la kila mtanzania kuunga mkono juhudi za kuhifadhi mazingira. 

Makamu wa Rais amewasihi wananchi kuepuka kukata miti ovyo, kuhakikisha vyanzo vya maji vinatunzwa, kuacha kuchafua mazingira Pamoja na uchimbaji wa mchanga katika maeneo yasiyo rasmi. Amezitaka kila Taasisi na Wizara kuhakikisha zinapanda miti katika maeneo yao. Amesema unahitajika ushirikiano baina ya watanzania wote kuhakikisha miti inapandwa ili kukabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Pia amesisitiza umuhimu wa vijana hususani wanaopata elimu vyuoni kupanda miti na kuitunza katika maeneo ya vyuo Pamoja na makazi.

Makamu wa Rais amesema serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeendelea kutoa elimu, kuandaa mipango ,kuboresha sera na sheria zinazohusu mazingira ikiwa ni Pamoja na kuhamasisha wananchi kuwa sehemu ya kuhifadhi na kutunza mazingira.

Pia amemuelekeza Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kufanikisha programu ya utunzaji Mazingira ya Green Legacy iliyolenga kukabiliana na uharibifu wa Mazingira kwa kupanda miti.

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais ametoa wito kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuhakikisha wanaimarisha ushirikiano baina ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar Pamoja na Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam (DIT) ili kubadilishana ujuzi na maarifa.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais – Zanzibar Mhe. Harous Said Suleiman amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imedhamiria kuhakikisha inarudisha Zanzibar kuwa ya kijani kwa kampeni maalum za upandaji miti. 

About the author

mzalendo