Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

kingroyal

jojobet

holiganbet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

piabellacasino

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino giriş

pashagaming giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

pashagaming

piabellacasino giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mavibet giriş

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

maxwin

betpark

sahabet

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

royalbet

pashagaming

artemisbet

sahabet güncel giriş

Featured Kitaifa

MIPANGO YA TAASISI ITUMIKE KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO YA URUDUFU WA MIFUMO YA TEHAMA – MHE.KIKWETE

Written by mzalendo

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo kwa washiriki wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao wakati akifunga kikao kazi hicho jijini Arusha kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao wakati akifunga kikao kazi hicho jijini Arusha kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).

Washiriki wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati akifunga kikao kazi hicho jijini Arusha kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Xavier Daudi akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete kwa kufunga kikao kazi cha nne cha serikali mtandao jijini Arusha. 

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba akieleza lengo la kikao kazi cha nne cha serikali mtandao kabla ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete kukifunga kikao hicho jijini Arusha.

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitazama kifaa cha kupima kiasi cha gesi na mafuta alipotembelea banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wakati wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao kilichofanyika jijini Arusha.

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitazama kipeperushi cha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) alipotembelea banda hilo wakati wa kikao kazi cha nne cha serikali mtandao kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) jijini Arusha.

Na. Veronica Mwafisi – Arusha

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amezielekeza taasisi zote za umma kuweka mipango itakayozisaidia kutatua changamoto ya urudufu wa mifumo ya TEHAMA ili kukuza na kuimarisha jitihada za serikali mtandao na kuboresha utendaji kazi katika kutoa huduma bora kwa wananchi kwa lengo la kufikia azma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwa na serikali ya kidijitali.

Mhe. Kikwete ametoa maelekezo hayo jijini Arusha wakati akifunga Kikao kazi cha nne cha serikali mtandao kilichowashirikisha wadau zaidi ya 1300 wa serikali mtandao nchini.

“Changamoto za TEHAMA ili ziweze kufikia mafanikio katika utekelezaji wa jitihada za serikali mtandao, hatua madhubuti zichukuliwe ikiwa ni pamoja na kujiwekea mipango katika taasisi zenu ili changamoto hizo ziweze kutatuliwa,” Mhe. Kikwete amesisitiza.

Aidha Mhe. Kikwete amewataka wataalam wa TEHAMA kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika kutekeleza jitihada za serikali mtandao kupitia msaada na ushauri wa kitaalam unaotolewa na mamlaka hiyo kwa lengo la kila mtumishi kuweza kuijenga serikali ya kidijitali.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi ameipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kwa kutekeleza azma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuijenga Tanzania kuwa ya kidijitali kwa kuibadilisha nchi na utumishi wa umma kupitia sera na mbinu mbalimbali za utendaji kazi serikalini ili kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kutumia TEHAMA.

Bw. Xavier ameongeza kuwa, kukutana kwa wadau mbalimbali katika kikao kazi hicho kutoka katika Wizara, Taasisi na Mashirika iwasaidie kujadili hali ya utekelezaji wa serikali mtandao katika taasisi za umma zikiwemo changamoto na mbinu za kukabiliana nazo ili kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali.

Naye, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba amesema kuwa, miradi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi za umma nchini kupitia kaulimbiu ya kikao kazi hicho ikizingatia Sera, Sheria, Kanuni na Miongozo ya Serikali Mtandao katika ujenzi wa miundombinu na mifumo ya TEHAMA itasaidia kupunguza urudufu wa mifumo, kurahisisha taasisi za umma kubadilishana taarifa na kuokoa fedha za umma kwa kudhibiti upotevu wa mapato ya serikali. 

Kikao kazi hicho kilichoanza tarehe 06 Februari, 2024 na kuhitimishwa leo tarehe 08 kimebeba kaulimbiu ya “Uzingatiwaji wa Sera, Sheria, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao kwa Ubadilishanaji salama wa Taarifa”.

About the author

mzalendo