Photos

MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA LISHE

Written by mzalendo

Maibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Wilson Charles Mahela ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kwa lengo la kupitia andiko la Lishe kwa ajili ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kilichofanyika Tarehe 08, Februari 2024 katika Ukumbi wa ofisi hiyo Jijini Dodoma.

About the author

mzalendo