Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja akizungumza kuhusu miundondombinu ya Mawasiliano na Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja akizungumza na Wahandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba pamoja na Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (katikati) akikagua miundombinu ya Mawasiliano katika Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, kulia ni Mhandisi wa Jengo hilo Bw. David Shunu na kushoto ni Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Karim Chitenda, alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja, akisikiliza maelezo ya Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Karim Chitenda (wa pili kulia), wakati Mkuu huyo wa Kitengo alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma. Kulia ni Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu.

Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Karim Chitenda (katikati) akieleza kuhusu mazingira ya Studio za Habari kwa Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu wakati Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (kushoto) alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo hilo, jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (katikati) na Mtaalamu wa Ujenzi wa Studio za Habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Karim Chitenda (kulia) wakisikiliza maelezo ya, Mhandisi wa Jengo jipya la Wizara ya Fedha Mtumba, David Shunu, wakati Mkuu huyo wa Kitengo cha Mawasiliano alipotembelea na kukagua miundombinu ya Mawasiliano katika jengo jipya la Wizara ya Fedha, Mtumba, jijini Dodoma

Previous articleRAIS SAMIA APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS JOKO WIDODO WA INDONESIA
Next articleVODACOM YAIPONGEZA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA MIAMALA YA SIMU KWANI IMEKUZA BIASHARA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here