Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Uncategorized

WIZARA NA TAASISI ZATAKIWA KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA MAAFA

Written by mzalendo

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Salim Manyata akifungua kikao kazi cha Wataalam cha maandalizi ya kuandaa Mpango wa Hatua za kuchukua katika Kuzuia na Kupunguza madhara ya mafuriko katika mito nchini kikao kilichofanyika Jijini Dodoma.

Kapteni Emmanuel Lyimo kutoka Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu akiwasilisha namna Tanzania inavyochukua hatua katika kukabiliana na maafa wakati wa kikao kazi cha Wataalam cha maandalizi ya kuandaa Mpango wa Hatua za kuchukua katika Kuzuia na Kupunguza madhara ya mafuriko katika mito nchini kikao kilichofanyika Jijini Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Na Mwandishi wetu- Dodoma.

Wizara na Taasisi za Serikali zimetakiwa kuendelea kuchukua hatua katika kujiandaa na kupunguza madhara yanayotokana na maafa hususani katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Salim Manyata Jijini Dodoma wakati akifungua Kikao Kazi cha Wataalam cha maandalizi ya kuandaa Mpango wa Hatua za Kuchukua katika Kuzuia na Kupunguza madhara ya mafuriko katika mito nchini.

Mkurugenzi huyo amesema kikao hicho kimefanyika kwa wakati muafaka katika kuelewa hatua madhubuti za kuchukua kwaajili ya kupunguza hatari za mafuriko ikizingaitwa mabadiliko ya mienendo ya hali ya hewa mara kwa mara pamoja na ongezeko la kasi na ukali wa matukio ya hali ya hewa.

“Kikao hiki kimekuja wakati sahihi hususani wakati huu nchi inapitia katika wakati wa mvua nyingi zinazosababisha mafuriko na kuleta madhara makubwa. Ni fursa kwetu kuchanganya maarifa yetu, kushirikiana kimawazo, na kujenga njia mbele inayojumuisha mawazo bora, teknolojia na njia zinazoshirikisha jamii ili kujenga uthabiti dhidi ya athari za mafuriko,”Amesema Dkt. Manyata.

Pia ameeleza kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Menejimenti ya Maafa kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Maafa ya Mwaka 2004 na Sheria ya Usimamizi wa Maafa, Na. 6 ya mwaka 2022 inaratibu na kusimamia masuala ya maafa nchini.

“Ofisi ya Waziri Mkuu na imeendelea kuchukua hatua za kupunguza madhara kwa kuhakikisha usimamizi na uratibu wa maafa na huduma za dharura zinatolewa kwa wakati kwa kuzingatia mipango, miongozo na mikakati ya kitaifa na kisekta,”Amebainisha.

Aidha ametoa wito kwa washiriki hao kubadilishana uzoefu katika kupunguza madhara ya mafuriko katika mito akisema kupitia jitihada za pamoja ili kuendeleza mikakati ambayo si tu inapunguza athari za mafuriko ya mito pia inaweka msingi wa Tanzania imara na yenye uwezo wa kubadilika.

About the author

mzalendo