marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

romabet

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

romabet giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

milanobet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

kralbet

deneme bonusu

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

casinoroyal giriş

marsbahis

matbet

sekabet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA 19 WA NAM

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki ufunguzi wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM), katika ukumbi wa Ruwenzori, Kampala nchini Uganda, Januari 19, 2024. Waziri Mkuu amemuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wakati aliposhiriki ufunguzi wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM), katika ukumbi wa Ruwenzori, Kampala nchini Uganda, Januari 19, 2024. Waziri Mkuu amemuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.

Rais wa Jamhuri ya Cuba Miguel Mario Diaz-Canel Bermudez akimkabidhi rasmi Rais wa Uganda Yoweri Museveni uenyekiti wa kundi la Umoja wa Nchi na Serikali 120 zenye Msimamo wa Sera ya Kutofungamana na Upande Wowote (NAM) katika ukumbi wa Ruwenzori, Kampala nchini Uganda, Januari 19, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amehudhuria mkutano huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    

 Rais wa Uganda Yoweri Museveni, akizungumza baada ya kukabidhiwa uenyekiti, Mheshimiwa Museveni aliahidi kuwa chini ya uenyekiti wake atatoa ushirikiano wa kutosha kwa umoja huo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Januari Makamba akifuatilia ufunguzi wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM), katika ukumbi wa Ruwenzori, Kampala nchini Uganda, Januari 19, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amehudhuria mkutano huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

 Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga akifuatilia ufunguzi wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM), katika ukumbi wa Ruwenzori, Kampala nchini Uganda, Januari 19, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amehudhuria mkutano huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……………..

*Rais Museveni asisitiza nchi za Afrika hazina uhaba wa chakula

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki ufunguzi wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM).

Mheshimiwa Majaliwa ameshiriki mkutano huo uliofunguliwa na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni akimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkutano huo wa siku mbili umeanza leo Ijumaa, Januari 19, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Ruwenzori, Kampala nchini Uganda.

Katika mkutano huo Rais wa Uganda alikabidhiwa rasmi uenyekiti wa kundi hilo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Cuba Miguel Mario Diaz-Canel Bermudez. 

Mkutano wa NAM hufanyika kila baada ya miaka mitatu na Mkutano wa mwisho, wa 18 ulifanyika jijini Baku nchini Azerbaljan mwezi Oktoba, 2019. Mkutano huo haukuweza kufanyika tangu mwaka 2019 kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19 lililoikumba dunia.

                                                                            

Awali, Rais wa Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museven akizungumza baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa umoja huo aliahidi katika kipindi cha uongozi wake atatoa ushirikiano wa kutosha kwa mataifa yanayounda umoja huo ili kuhakikisha malengo ya kuanzishwa kwake yanafikiwa.

Pia, Mheshimiwa Rais Museveni aliwaeleza wajumbe wa mkutano huo kuwa nchi za Afrika hazina uhaba wa chakula kama inavyoelezwa na baadhi ya watu. 

“Afrika ina kila kitu, sisi tunachotaka kutoka kwa nchi nyingine ikiwemo zilizoendelea, msimamo wetu ni kuwa dunia isimame kwenye changamoto za kawaida za binadamu na ustawi wa biashara.”

Mkutano huo unalenga kuimarisha ushirikiano kwenye masuala ya biashara, uwekezaji, kutokomeza umaskini, mabadiliko ya tabianchi, amani na usalama katika mipaka, sekta ya afya, mandeleo endelevu, na uchumi wa kidijiti. 

Umoja huo ulianzishwa wakati wa enzi za vita baridi ili kusaidia nchi wanachama wake kutoka mabara ya Asia, Afrika na Latin Amerika kuondokana na ukoloni ili kuweza kujitawala kisiasa, kiuchumi na kijamii.

About the author

mzalendo