Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

meritking

jojobet

holiganbet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

avrupabet

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet

kavbet

piabellacasino giriş

pashagaming

casinoroyal

teosbet

piabellacasino

norabahis

artemisbet

piabellacasino

casinoroyal

almanbahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betpark

meritking

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

Kitaifa

WAZIRI MKUU AZURU VIJIJI VINNE VYA JIMBO LAKE

Written by mzalendo


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa leo (Alhamisi, Desemba 21, 2023) amefanya ziara kwenye vijiji vinne vya kata ya Mbekenyera, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.
 
Vijiji alivyovitembelea na kuzungumza na wakazi wake ni Chingumbwa, Mkutingome, Naunambe na Mbekenyera.
 
Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Chingumbwa katika kata ya Mbekenyera, Mheshimiwa Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili, kata hiyo imepatiwa sh. bilioni 2.5 za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ya sekta za afya na elimu.

Pia amewataka wakazi hao waendelee kuwa na imani na Serikali ya awamu ya sita kwani imedhamiria kutatua kero zao. “Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ana dhamira ya dhati ya kushirikiana na wana-Ruangwa na Watanzania wote katika kutatua changamoto zilizopo hivyo endeleeni kuwa na imani naye, na muwe na imani na Serikali yenu ya awamu ya sita,” amesema.
 
Amesema kuwa Serikali itaendelea kusimamia kikamilifu ujenzi na ubora kwenye sekta ya elimu kuanzia shule ya msingi ili watoto wasitembee umbali mrefu kufuata shule.
 
Akiwa kwenye kijiji cha Mkutingome, Waziri Mkuu ameagiza RUWASA wilaya ya Ruangwa ikamilishe kwa wakati mradi wa maji utakaohusisha vijiji vya Chingumbwa na Mkutingome ili wananchi hao waanze kupata huduma ya maji safi na salama.

Ili kuharakisha kukalimika kwa mradi huo, Waziri Mkuu amesema: “Natambua kuwa ujenzi huo utahusisha uwekaji wa vilula, kazi hii msiitoe kwa mkandarasi mmoja, gaweni kazi, mmoja apewe chanzo tu, mwingine njia za maji na mwingine ajenge vilula,” amesema.
 
Akitoa maelezo kuhusu mradi huo, Kaimu Meneja wa RUWASA, wilaya ya Ruangwa, Mhandisi Rashid Shabani amesema kuwa wanaendelea na taratibu za ujenzi wa mradi huo ambao unategemea kuzalisha zaidi ya lita 5,000 kwa saa.
 
“Mpaka sasa tumeshafanya tafiti na kuchimba kisima na tunaendelea na kuangalia ubora wa maji, yote haya tutayafanya katika mwaka huu wa fedha,” amesema.
 
Akiwa kijiji cha Naunambe, Waziri Mkuu alikagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Nambawala na kusema ameridhishwa na ubora wa viwango vya ujenzi wa shule hiyo. Amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma aendelee kuwatumia wakandarasi hao.

Katibu wa mradi huo, Hussein Juma Omari alisema Juni 30, mwaka huu, Kata ya Mbekenyera, ilipokea sh. milioni 560.5 kutoka Serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya chini ya Programu ya Uboreshaji wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) ambapo hadi sasa zimetumika sh. milioni 510. Ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Desemba 30, 2023.
 
Akiwa kijiji cha Mbekenyera, Waziri Mkuu alitembelea kituo cha afya na kukagua utoaji wa huduma kwenye kituo hicho. Alimwagiza Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt. Boniface Nonga afuatilie matengenezo ya gari la wagonjwa ili liweze kuwahudumia wananchi wa vitongoji vya jirani.
 
Akizungumza na wakazi wa kijiji hicho, aliwasisitiza vijana wa kata hiyo watumie fursa ya uwepo wa madini ili kukuza uchumi wao na waende Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) ili wapate ujuzi na kuboresha stadi kwenye uchimbaji wa madini.
 
“Vijana, akinamama, na wazee wenzangu, tuna fursa ya madini ya graphite (bunyu), tujipange kuanza kunufaika na fursa hii, vijana nendeni mkaongeze ujuzi VETA, fungueni maduka, jengeni nyumba za wageni, kwani madini ni uchumi.”

About the author

mzalendo