Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

cratosroyalbet

mavibet

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis giriş

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

betsat

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

casibom güncel giriş

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

jojobet giris

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

Uncategorized

SERIKALI YAAGIZA SEKTA ZOTE KUTUMIA WANUNUZI WENYE SIFA

Written by mzalendo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiziagiza sekta zote nchini kuhakikisha zinawatumia wataalam wa Ununuzi na Ugavi wenye sifa kwenye shughuli zao, wakati wa Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika katika ukumbi wa AICC, jijini Arusha.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati) akiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Bw. Jacob Kibona (kulia) kwenda kukagua mabanda ya maonesho kabla ya kuanza kwa Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati) akiwa ameshika tuzo ya ushiriki wa Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa – AICC, jijini Arusha, alilokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bw. Jacob Kibona.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Zanzibar, Bw. Arafat Haji, ambapo Shirika hilo ni mdhamini mkuu wa Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa – AICC, jijini Arusha.

Kamishna wa Sera ya Ununuzi wa Umma, Dkt. Frederick Mwakibinga, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Bw. Jacob Kibona (katikati) na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kabla ya kuanza kwa Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi, jijini Arusha.

Wataalam wa Ununuzi na Ugavi wakiwa katika Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi, linalofanyika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa- AICC, jijini Arusha.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Bw. Jacob Kibona (wa sita kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya PSPTB na viongozi wa Mkoa wa Arusha kabla ya kuanza kwa Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa – AICC, jijini Arusha.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha.)

………..

Na. Peter Haule, WF, Arusha

Serikali imewaagiza waajiri wa Sekta zote nchini kuhakikisha wataalam wanaofanya shughuli za ununuzi na ugavi wanakuwa na sifa sitahiki kama ilivyoainishwa kwenye Sheria Na. 23 ya mwaka 2007 iliyoanzisha Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), pamoja na miongozo inayotolewa.

Maagizo hayo yametolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati akifungua Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika katika ukumbi wa AICC, jijini Arusha.

Dkt. Nchemba alisema kuwa anasikitishwa na kuwepo kwa baadhi ya Wataalam wanaofanya kazi pasipo kuwa na sifa stahiki na bila kusajiliwa na Bodi kama ilivyo takwa la kifungu cha 11 cha Sheria ya PSPTB.

“Changamoto ya kuwapo kwa wataalam ambao wanafanyakazi pasipo sifa stahiki kwa sehemu kubwa inachangiwa na waajiri kuruhusu kazi za ununuzi kufanywa na waajiriwa nje ya taaluma ya ununuzi na ugavi ambayo kwa ukubwa wake inazigusa Ofisi ya Rais TAMISEMI yenye watumishi wengi zaidi wa kada hii, Ofisi ya Rais Utumishi ambao wanasimamia masuala ya ajira pamoja na Wizara Fedha kama mlezi wa kada ya ununuzi na ugavi”, alieleza Dkt. Nchemba.

Dkt. Nchemba alimwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kushirikiana na Bodi ya PSPTB, kukutana na Katibu Mkuu TAMISEMI, Katibu Mkuu Utumishi kwa utatuzi wa changamoto hiyo ili kuhakikisha kazi za ununuzi na ugavi zinafanywa na wataalamu wenye sifa na waliosajiliwa na Bodi kwa mujibu wa Sheria ya PSPTB.  

Aidha, Dkt. Nchemba alimwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kuangalia uwezekano wa kuisaidia PSPTB kupata fedha ili iweze kufanikisha majukumu ya utekelezaji wa baadhi ya majukumu yake kisheria ikiwa pamoja na kufanya ukaguzi wa wataalam wake nchi nzima katika sekta ya umma na sekta binafsi.

Vile vile Bodi hiyo iweze kuwajengea uwezo wataalam na wadau kwenye mnyororo wa ununuzi na ugavi na kufanya utafiti wa kitaaluma unawoweza kuleta ufumbuzi wa usimamizi bora wa mnyororo wa ununuzi na ugavi mambo ambayo hayafanyiki ipasavyo kwa sababu ya ufinyu wa bajeti.

Pia Dkt. Nchemba ameipongeza PSPTB kwa kuendelea kusimamia maadili na mienendo ya Wataalam kwa kuchukua hatua za kinidhamu kwa wataalam wanaokiuka miiko ya taaluma yao, likiwamo suala la kufanya kazi chini ya kiwango kama ilivyobainishwa kupitia taarifa ya ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (GAG).

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PSPTB, Bw. Jacob Kibona, alisema kuwa mfumo wa usajili wa wataalam wa ununuzi na ugavi kwa njia ya mtandao unasomana na Mfumo wa Taifa wa ununuzi (NeST) ili kuhakikisha shughuli za ununuzi na ugavi zinafanywa na wataalam wenye sifa stahiki waliosajiliwa na PSPTB.

Alisema kuwa hatua hiyo itasaidia udhibiti wa weledi wa wataalam kuhakikisha wataalam wanaotumia mfumo huo ni wenye sifa za kitaaluma na waliosajiliwa na Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB, Bw. Godfred Mbanyi, amesema kuwa Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wanawajibu mkubwa kwa Serikali ikiwa ni pamoja na kufanyakazi kwa weledi na uadilifu.

Alisema kuwa mazuri ambayo Serikali imeonesha nia ya kuyatekeleza kwa wataalam hao ikiwa ni pamoja na kuongeza maslahi yao ni lazima yalipwe kwa kufanya kazi kwa bidii na weledi na pia litakuwa suala la kukatisha tamaa kwa viongozi ikiwa kada hiyo inathaminiwa lakini kunabaadhi wanafanyakazi kinyume na miiko ya taaluma zao.

Kongamano la 14 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi nchini, linafanyika kuanzia Desemba 12 hadi 15 mwaka 2023 likilenga kupunguza changamoto zilizopo kwenye fani ya ununuzi na ugavi kwa kuzingatia matumizi ya kidigitali na kuhakikisha Kuna kuwa na ununuzi wenye tija.

About the author

mzalendo