marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

holiganbet

grandpashabet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

Grandpashabet Güncel Adres

vdcasino

betvole

İkimisli

Featured Kitaifa

DKT. MWIGULU AWATAKA VIJANA WAHITIMU KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI NA MAENDELEO

Written by mzalendo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya Mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, duru ya pili, Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa Mwanza.

Na. Eva Ngowi na Ramadhani Kissimba, Mwanza.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewataka wahitimu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazojitokeza ndani na nje ya nchi.

Akizungumza kwa niaba ya Mhe. Waziri wa Fedha katika Mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya pili katika Kituo cha Mafunzo Kanda ya ziwa – Mwanza, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, aliwataka wahitimu hao kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza kutokana na mazingira yanayotengenezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

‘Miongoni mwa fursa hizo ambazo nilisisitiza pia kwenye duru ya kwanza ya mahafali haya huko Dodoma ni kuwepo kwa uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na nchi nyingine’ alisema Bi. Omolo.

Aidha Bi. Omolo alisema kuwa ulimwengu wa sasa umebadilika na kuna fursa nyingi ndani na nje ya nchi hivyo kuwataka vijana kuchangamkia kila fursa inayojitokeza mbele yao.

Bi. Omolo aliwataka vijana kote nchini kuimarisha ushirikiano hasa kwa vijana ambao kwa njia moja au nyingine hawakubahatika kupata maarifa na ujuzi na kuwataka vijana wasomi kutowatenga wenzao bali wawafanye kuwa sehemu yao maana kwa kufanya hivyo itakuwa chachu ya kutoa mchango wa kukabiliana na changamoto za maendeleo zinazoikabili jamii.

 Aidha, Bi. Omolo alikipongeza Chuo hicho kwa mafanikio iliyoyafikia, na pia kwa kushika nafasi ya kwanza kwa utendaji bora katika usimamizi wa rasilimali watu na utawala bora kwa vyuo vya kati na vyuo vya elimu ya juu nchini, tuzo ambayo ilitolewa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mwezi Oktoba, 2023.

Awali Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Profesa Hozen Mayaya, alisema kuwa Chuo chake kimeendelea kupokea kwa wakati fedha za maendeleo kwa ajili ya miradi ya maendeleo inayojengwa kwa kasi katika Chuo hicho hali inayosaidia kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa Taasisi kukuza taaluma ya Wanamipango nchini.

Profesa Mayaya aliongeza kuwa, Chuo hicho kitaendelea kujizatiti katika kuwandaa wataalamu wenye weledi wa kutosha katika fani za mipango ya maendeleo na kutoa wataalamu wenye uzalendo na waadilifu kwa kuwa uzalendo na uadilifu ndizo nyenzo muhimu katika ujenzi wa uchumi wa nchi.

Akimkaribisha Mgeni Rasmi, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo, CPA, Dkt. Samwel Werema, alisema kuwa Uongozi wa Chuo hicho utaendelea kufanya kazi kwa bidii, maarifa na weledi wa hali ya juu ili kusimamia dhamana iliyopewa ya kusimamia Chuo na hasa ikizingatiwa kuwa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini ndio Chuo pekee nchini chenye jukumu la kuandaa wataalam wa mipango ya maendeleo.

Dkt. Werema, aliongeza kuwa katika kipindi hiki cha mageuzi ya kiuchumi, watalaam wa mipango wanahitajika kwa wingi, na Chuo kimejizatiti katika kuzalisha watalaam hao ili waende kusaidia kuongoza shughuli za maendeleo zitakazokuza uchumi wa nchi.

Mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa – Mwanza yanafanyika kwa mara ya 11 ikijumuisha wahitimu 2618 wakiwemo wanaume 1211 na wanawake 1407 ambao wametunikiwa tuzo katika programu ya Astashada, Stashahada na Shahada.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi, Jenifa Christian Omolo, (mwenye joho jekundu) akiwa katika maandamano wakati wa mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya pili Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa Mwanza, kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb). Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Hozen Mayaya na kushoto ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo hicho, Dkt. Remidius Ruhinduka.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya Mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, duru ya pili, Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa Mwanza.

Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Profesa Hozen Mayaya, akizungumza wakati wa hafla ya Mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, duru ya pili, katika Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa, Mwanza.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, (mwenye joho jekundu) kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimkabidhi cheti mwanafunzi aliyefanya vizuri katika masomo yake.

Baadhi ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya pili Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa Mwanza.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Mwanza).

About the author

mzalendo