Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Uncategorized

SERIKALI YATENGA BILIONI 1.8 KWA AJILI YA VIJANA WA  BBT WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT

Written by Alex Sonna

Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe,akizungumza Leo Disemba 8,2023 wakati akifunga  Mafunzo ya JKT kundi maalum la Jenga kesho iliyo bora (BBT) kikosi cha 834 Makutopora  jijini Dodoma ikiwa ni oparesheni maalum ya miaka 60 ya Jeshi hilo.

Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe ,akikagua Gwaride wakati akifunga mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT), kundi maalum  BBT Jenga kesho iliyo bora  operesheni miaka 60 ya jeshi hilo katika kikosi cha Jeshi 834 Makutupora jijini Dodoma.

Vijana wakipita mbele ya Mgeni rasmi kutoa heshima kwa mwendo wa pole na haraka Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe,wakati akifunga Mafunzo ya JKT kundi maalum la Jenga kesho iliyo bora (BBT) kikosi cha 834 Makutopora leo Disemba 8,2023 jijini Dodoma ikiwa ni oparesheni maalum ya miaka 60 ya Jeshi hilo.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, akizungumza wakati wa ufungaji  wa Mafunzo ya JKT kundi maalum la Jenga kesho iliyo bora (BBT) kikosi cha 834 Makutopora  jijini Dodoma ikiwa ni oparesheni maalum ya miaka 60 ya Jeshi hilo.

Kaimu Kamanda wa JKT 834 Makutupora Meja James Macheta,akizungumza wakati wa ufungaji  wa Mafunzo ya JKT kundi maalum la Jenga kesho iliyo bora (BBT) kikosi cha 834 Makutopora  jijini Dodoma ikiwa ni oparesheni maalum ya miaka 60 ya Jeshi hilo

Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga Mafunzo ya JKT kundi maalum la Jenga kesho iliyo bora (BBT) kikosi cha 834 Makutopora leo Disemba 8,2023 jijini Dodoma ikiwa ni oparesheni maalum ya miaka 60 ya Jeshi hilo.

Na. Gideon Gregory, Dodoma.
Wahitimu wa mafunzo katika ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wametakiwa kutambua thamani zao na jinsi Serikali inavyowajali katika kuboresha hali zao za kiuchumi na taifa kwani Serikali haitamani kuona jitihada na nguvu ilizoweka kwao zinaishia njiani.
Hayo yamesemwa leo Desemba 8,2023Jijini Dodoma na Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe wakati akifunga mafunzo ya JKT kundi maalum la Jenga kesho iliyo bora (BBT) kikosi cha 834 Makutopola ikiwa ni oparesheni maalum ya miaka 60 ya Jeshi hilo.
“Mafunzo mliyo yapata hayakuwa mepesi hasa hapa JKT hivyo mnatikiwa kutoa heshima kwa kuhakikisha hazna ya serikali inafanikiwa kwa manufaa yenu na kwa taifa,”amesema Waziri Bashe.
Amesema Rais Dkt. Samia yuko tayari kuendeleza juhudi za kuinua uchumi wa nchi hususani kupitia vijana na programu hiyo ya BBT ambapo pia amewasisitiza kudumisha ushirikiano baina yao na Wizara ya Kilimo.

Hata hivyo amesema kuwa Serikali imetenga sh bilion 1.8 kwa ajili ya vijana wa program ya Jenga kesho iliobora waliohitimu leo Mafunzo  hayo  kwa ajili ya kuanza kuendesha kilimo.

Waziri Bashe amesema fedha hizo zitasaidia kwenye mradi mzima wa BBT ili kuhakikisha vijana wanakuwa sawa ikiwemo kuanza Kilimo kwa ajili ya kurudisha kile walichopewa na serikali.
“Fedha ziko tayari kwa ajili ya mradi wa BBT hivyo nahitaji kuona vijana jitihada zenu zinasonga mbele,”amesema Waziri Bashe.
Katika hatua nyingineWaziri Bashe amewahasa wananchi kuona fursa zilizopo kwenye kilimo kwani kimekuwa uti wa mgongo pamoja na kutoa rai kwa vijana kuchangamkia fursa pale wanapozipata na kuzitumia kutimiza malengo yao.

Kwa upande wake Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema program hiyo imekuwa ya viwango vya juu hivyo vijana hao wanapaswa kuzingatia walichofundishwa.

Amesema kuwa  wakati wanaanza Mafunzo waliitwa Kuruta lakini hivi sasa jina hilo haliwafai tena badala yake wataitwa service Man na Service Girl.
“Tumefurahi sana kupata vijana hawa wa Mafunzo tunasubiri awamu nyingine ili tuweze kuwapa Mafunzo na nidhamu kwenye Kilimo,”amesema Meja Jenerali Mabele.
Naye Kaimu Kamanda wa JKT 834 Makutupora Meja James Macheta,amesema kuwa  wamefurahi sana kupata watu wa Mafunzo kwa ajili ya kujifunza masuala ya Kilimo.
Meja Macheta amesema kuwa JKT ni sehemu sahihi ya watu kufanya mabadiliko yao kwenye nyanja tofauti ikiwemo kilimo.
Nao wahitimu wa mafunzo hayo wamesema wakati wakiwa katika mafunzo hayo wamejifunza masomo mbalimbali kwa nadharia na vitendo ambayo yamewafanya kuwa wazalendo, watii, wenye nidhamu, wachapakazi, wakakmavu na wenye fikra chanya kwa taifa.

About the author

Alex Sonna