Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

TBA YAANZA OPARESHENI KUWAHAMISHA WADAIWA SUGU KODI ZA MAJENGO

Written by mzalendo

 

 WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Twins Auction Mart wakitoa vitu vya wadaiwa sugu katika eneo la Area D jijini Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa  opareshini ya kuwaondoa wadaiwa sugu kwenye  nyumba za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).

  

ZOEZI likiendelea kwa  wadaiwa sugu katika eneo la Area D jijini Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa  opareshini ya kuwaondoa wadaiwa sugu kwenye  nyumba za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).

Muonekano wa Nyumba za Wakala wa Majengo (TBA) eneo la Area D jijini Dodoma.

Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Dodoma, Arch.Vilumba Sanga, akizungumza na waandishi habari wakati wa utekelezaji wa oparesheni ya kuwaondoa wadaiwa sugu kwenye nyumba zake jijini Dodoma .

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twins Auction Mart, akizungumza na waandishi habari wakati wa utekelezaji wa oparesheni ya kuwaondoa wadaiwa sugu kwenye nyumba za wakala wa Majengo Tanzania (TBA)  zilizopo eneo la Area D jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umeendeleza opareshini ya kuwaondoa wadaiwa sugu kwenye nyumba zake jijini  Dodoma na kupiga marufuku tabia ya baadhi ya wapangaji kuachiana nyumba kiholela bila kufuata utaratibu.

Hayo yamesemwa leo Disemba 8,2023 na Kaimu Meneja wa TBA Mkoa wa Dodoma, Arch.Vilumba Sanga,wakati  akizungumza na waandishi habari wakati wa utekelezaji wa oparesheni hiyo katika eneo la Area D jijini Dodoma.

Arch.Sanga amesema kuwa  oparesheni hiyo itakuwa endelevu ili kufanikisha kuwaondoa wadaiwa wote sugu ambao wamelimbikiza madeni ya kodi za pango la nyumba.

Aidha, amesema kuwa wapangaji wanao ondolewa hivi sasa kwenye nyumba hizo ni wale waliolimbikiza madeni kuanzia miezi minne na kuendelea.

“Leo hii tupo hapa kutekeleza oparesheni hii ambayo itakwenda nchi nzia tulianza na Dar es Saalam na leo hii tupo Dodoma lengo ni kuondoa wapangaji wote waachie nyumba mbazo wameshindwa kulipa kodi ili watu wengine waingie.

“Lakini wote ambao wataondolewa na kuonekana kuwa bado wanadaiwa vitu vyao vitashikiliwa na dalali wa Mahaka tuliyeingia mkataba naye ili vipigwe mnada na kufidi deni letu”alisema Sanga

Hata hivyo amesema kuwa  oparesheni hiyo ya kuwaondoa wadaiwa hao sugu inatekelezwa na Dalali wa mahakama kampuni ya Twins Auction Mart, ambao ndiyo waliopata zabuni ya kukusanya madeni yote ya TBA.

“Wapangaji ambao tunashughulika nao leo ni wa aina tatu moja ni wale ambao ni wadaiwa sugu na wengine ni wale ambao wameingia kwenye nyumba zetu kinyume na utaratibu kwa kupangishwa kiholela na marafiki zao ambao walikuwa wapangaji wetu awali.

“Kutokana na hali hii kuanazia leo nipige marufuku  kwa mtu yeyote kupangishwa nyumba zetu kiholela badala ya kufuata taratibu kwanzia sasa tunaanza kuchunguza na ataye bainika kuingia kwenye nyumba zetu kinyume na utaratibu hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake”alisema

Aidha Arch.Sanga amewataka V watu wenye mahitaji ya nyumba za kupanga za TBA, kufuata utaratibu uliowekwa badala ya kupangishana kiholela.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twins Auction Mart, inayotekeleza oparesheni hiyo Zuber Hassan, amesema  TBA inadai kiasi cha Sh. bilioni za malimbikizo ya madeni dugu na hadi sasa wameshakusanya kiasi cha Sh. milioni 200 kutoka kwa wadaiwa sugu.

About the author

mzalendo