Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

MGODI WA MWADUI WAPANDIKIZA VIFARANGA VYA SAMAKI BWAWA LA MWANG’HOLO

Written by Alex Sonna

 

Katibu Tawala wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed akizindua zoezi la upandikizaji Vifaranga vya Samaki katika Bwawa Jipya la Mwang’olo.

 

Muonekano wa Vifaranga vya Samaki aina ya Sato.

 

Na Marco Maduhu,KISHAPU
MGODI wa uchimbaji Madini ya Almasi (WDL) uliopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, umepandikiza vifaranga vya Samaki aina ya Sato katika Bwawa Jipya la Mwang’holo, ili kuinua kipato cha wananchi pamoja na kupata kitoweo.
Zoezi hilo la upandikizaji vifaranga vya Samaki limefanyika leo Desemba 8,2023 kwa kuzinduliwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed akimwakilisha Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude.
Meneja Mahusiano Mgodi wa Almasi Mwadui Bernard Mihayo, akizungumza katika zoezi hilo, amesema wametekeleza agizo la Serikali la kurudisha kila kitu ambacho kiliharibika baada ya kupasuka kwa Bwawa la Majitope la Mgodi huo Novemba mwaka 2022.
Amesema zoezi la ulipwaji fidia kwa Waathirika, limemalizika na sasa wanachofanya ni kurudishia Mazingira ikiwamo upandaji miti, na kupandikiza vifaranga vya Samaki katika Bwawa Jipya, ili wananchi waendelee na shughuli zao kama kawaida ikiwamo uvuvi wa Samaki.
“Baada ya kupasuka kwa bwawa la kuhifadhia Majitope, liliathiri Bwawa ambalo wananchi walikuwa wakilitumia kufanya shughuli za uvuvi wa Samaki,” amesema Mihayo.
“Baada ya kujenga Bwawa hili Jipya katika Kijiji cha Mwang’olo,tumetekeleza Maagizo ya Serikali na leo tumekuja kupandikiza vifaranga vya Samaki 5,000 aina ya Sato ili wananchi waendelee na shughuli zao za uvuvi kama zamani,” ameongeza Mihayo.
Aidha, amesema katika zoezi la upandaji miti ili kutunza Mazingira katika vijiji vyote vinavyozunguka Mgodi huo kwamba hadi sasa wameshapanda Miti 10,000 na zoezi hilo ni endelevu.
Naye Afisa Uvuvi wilaya ya Kishapu Moses Ng’winza, ametoa wito kwa wananchi wasubiri hadi miezi Sita Samaki hao watakuwa tayari wamekuwa wakubwa, pamoja na kusubiri maelekezo kutoka Serikalini na kupewa elimu ndipo waanze shughuli za uvuvi.
Katibu Tawala wa wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed, ameupongeza Mgodi huo wa Mwadui kwa kutekeleza Maagizo ya Serikali, na leo wamezindua zoezi la upandikizaji vifaranga vya Samaki.
Amewataka wananchi kulitunza bwawa hilo, na kila mmoja awe mlinzi wa mwezake pamoja na kuacha kulima Kando ya bwawa ili Samaki hao waje kuwa msaada mkubwa kwao kiuchumi na kupata kitoweo.
Nao baadhi ya wananchi hao akiwamo Mvuvi Laurent Fabiani, amesema wanaushukuru Mgodi huo kwa kupandikiza vifaranga vya Samaki katika bwawa jipya, ili warudi katika shughuli zao za uvuvi na kujiongezea kipato, ambapo kwa sasa anaendelea na Kilimo.
TAZAMA PICHA HAPA CHINI
Katibu Tawala wa wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed akizungumza kwenye zoezi la upandikizaji Vifaranga vya Samaki katika Bwawa la Mwang’olo kutoka Mgodi wa Almasi Mwadui.
Meneja Mahusiani Mgodi wa Almasi Mwadui Benard Mihayo akizunguma kwenye zoezi hilo la upandikizaji Vifaranga vya Samaki.
Afisa Uvuvi wilayani Kishapu Moses Ng’winza akizungumza kwenye zoezi hilo la upandikizaji Vifaranga vya Samaki.
Mwananchi Mussa Masanja akipongeza zoezi hilo la upandikizaji Vifaranga vya Samaki.
Katibu Tawala wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed akizindua zoezi la upandikizaji Vifaranga vya Samaki katika Bwawa Jipya la Mwang’olo.
Afisa Uvuvi wilayani Kishapu Moses Ng’winza akiweka Samaki katika Bwawa.
Bwawa la Mwang’olo.
Wananchi wakishuhudia upandikizaji wa Vifaranga vya Samaki.
Katibu Tawala wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed akipanda Mti katika Nyumba za Wathirika wa Bwawa la Majitope.
Muonekano wa nyumba za Waathirika wa Bwawa la Majitope ambalo wamejengewa na Mgodi wa Almasi Mwadui.
Muonekano wa nyumba za Waathirika wa Bwawa la Majitope ambalo wamejengewa na Mgodi wa Almasi Mwadui.

 

About the author

Alex Sonna