Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

1xbet

maxwin, maxwin giriş

smartbahis

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

telegram ifşa

smartbahis

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

meritking güncel giriş

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

tambet

ultrabet

ultrabet

piabellacasino

setrabet

pulibet

perabet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

meritking

betsat güncel giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

casinoroyal

bets10

Featured Kitaifa

TANZANIA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA ZA KIPAUMBELE

Written by mzalendo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.
Na. Joseph Mahumi, WF, Zanzibar
 
Serikali ya Tanzania inalenga kuongeza uwekezaji katika sekta za kipaumbele ikiwemo sekta ya Elimu, Afya, na Kilimo cha kisasa kinachozingatia mabadiliko ya Tabia nchi ili kuchochea ukuaji wa Uchumi Endelevu na Kupunguza Umaskini.
 
Hayo yamesemwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika kwa siku tatu, Zanzibar, ambapo pamoja na mambo mengine utajikita kufanya tathmini ya miradi inayotekelezwa katika nchi zenye kipato cha chini kupitia fedha za mkopo na msaada zinazotolewa na Mfuko huo uliopo chini ya Benki ya Dunia.
 
Rais Mwinyi alisema kuwa, mfuko wa IDA umechangia kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa miradi ya Tanzania Bara na Zanzibar, ikiwemo Mradi wa Nishati ya umeme vijijini wenye thamani ya dola za Marekani milioni 200, ambao umewezesha kufikia zaidi ya watanzania milioni 2.5 kupata nishati ya umeme, pamoja na dola za Marekani milioni 335, ambazo zimetumika katika uboreshaji na ujenzi wa vituo vya Afya na Madarasa.
 
“Tunatambua namna ambavyo mfuko wa IDA, umekua kielelezo kizuri cha Ufanisi kwa nchi zenye uchumi wa chini” Alisema Mhe. Dkt. Mwinyi.
 
Aidha, Mhe. Rais Mwinyi, ameiomba Benki ya Dunia kupitia dirisha la IFC na IDA kuangalia namna ya kukopesha sekta binafsi ili kuwezesha Ushindani wa Biashara katika eneo huru la biashara Afrika hatua itakayochochea ongezeko la ajira kupitia ushirikiano wa kikanda na biashara.
 
Naye Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amesema kuwa Kaulimbiu ya Mkutano huu wa IDA-20 ambayo ni Ukuaji Endelevu wa Uchumi, Kujenga Uthabiti, na Kusaidia Maendeleo ya Mtaji wa Watu, inalingana kikamilifu na vipaumbele vya Tanzania. 
 
“Kujitolea kwa Serikali yetu katika kuboresha miundombinu, kuwekeza katika rasilimali watu, na kukuza utawala bora, kumechangia kwa kiasi kikubwa mwelekeo wetu wa maendeleo, na pia Uongozi wa Rais. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, umepiga hatua kubwa katika kukuza ushirikishwaji na kujenga uthabiti kupitia mipango mbalimbali ya maendeleo” alisema Dkt. Nchemba.
 
Kwa upande wake Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, amesema kuwa Kabla ya kufika mwaka 2030, Benki ya Dunia kupitia Mfuko wa IDA, itatoa kiasi cha dola za Kimarekani bilioni 5 kwa ajili ya kufikisha umeme wa uhakika, nafuu, na mbadala kwa Waafrika zaidi ya milioni 100.
 
“Katika siku chache zijazo, tutakuwa na fursa ya kutafakari juu ya manufaa yaliyotokana na IDA na kwa pamoja, na pia tutapata fursa ya kutoa maoni juu ya utendaji kazi wake ili kuweza kufikia nchi za kipato cha chini kwa ukamilifu wenye maono ya ukuaji” alisema Bw. Banga.
 
Mkutano huo wa Siku tatu unawakutanisha zaidi ya wajumbe 300 kutoka nchi zinazonufaika na IDA, Viongozi wa Benki ya Dunia, pamoja na Wafadhili wanaochangia Fedha katika Mfuko huo wa IDA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport), sambamba na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, ambapo amefungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika Zanzibar, kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Salum Mkuya na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, wakiangalia burudani ya ngoma ya asili, wakati akiwasili  kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akitoa Hotuba ya Kumkaribisha, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga (wa kwanza kulia), Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Salum Mkuya (wa pili kulia) na Makamu Waziri Mkuu wa Cabo Verde ambaye pia ni Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo, Mhe. Olavo Correia (wa kwanza kushoto), baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, unaofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wapili kushoto), akiaga na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga (wa pili kulia), baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, ambao utaendelea kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023. Wa kwanza Kushoto ni  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Wa kwanza Kulia Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba.
Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathmini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, katika Hoteli ya Golden Tulip (Airport)- Zanzibar, ambao utaendelea kuanzia Leo Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Zanzibar)

About the author

mzalendo