marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

https://letsrelaxspa.today/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

Samsun Escort

jojobet giriş

grandpashabet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

holiganbet giriş

marsbahis

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

bets10

betasus giriş

kingroyal

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA AWATAKA WAHITIMU ADEM KUWA VIONGOZI WA MAGEUZI YA ELIMU

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali inawatarajia Wahitimu katika mafunzo ya elimu kuwa mabalozi wa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 Toleo la 2023.

Prof. Mkenda ametoa rai hiyo Disemba Mosi, 2023, Bagamoyo Mkoa wa Pwani wakati akizungumza kwenye mahafali ya 31 ya Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM).

“Katika kipindi hiki, tunawategemea sana kwenda kutusaidia kutekeleza mageuzi ambayo yameanishwa katika Sera mpya ya Elimu, pamoja na jukumu la kufundisha mtaenda kusimamia mabadiliko ya elimu nchini” Alisema Prof. Mkenda.

Amesema Serikali imeanza mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya elimu ya mwaka 1978, na kwamba kulingana na Sera Mpya ya elimu ma Mafunzo, elimu ya lazima miaka 10 badala ya miaka 7.

“Kutokana na mabadiliko ya Sera tunapitia sasa sheria ya elimu ya mwaka 1978 ili iendane na sera pamoja na masuala mengine muhimu mtambuka” Alieleza Waziri Mkenda.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) Dkt. Siston Masanja amesema serikali inawekeza katika mafunzo hayo ili kuwajengea Walimu umahiri na uwajibikaji kwa Maendeleo ya nchi, hivyo wanapaswa kuwa imara na mawazo chanya katika kusimamia Shule ili kuleta mageuzi chanya yanayokusudiwa.

“Wahitimu ni nguzo muhimu ya taifa, mnapaswa kuimarisha usimamizi na utekelezaji wa miradi ya ujenzi, usimamizi wa ufundishaji na ujifunzaji, kuzingatia usalama wa watoto pamoja na miongozo mbalimbali” alisema Dkt. Masanja.

Ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kutoa fedha zinazosaidia kutekeleza ujenzi wa Kampasi ya ADEM Mbeya.

Jumla ya Wahitimu 916 wametunukiwa Stashahada, Wahitimu 702 ni wa kozi ya Stashaha ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA), Wahitimu 214 Stashahada ya Udhibiti Ubora wa Shule (DSQA) na wahitimu 03 wametunukiwa Astashahada ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (SELMA).

About the author

Alex Sonna