marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

https://letsrelaxspa.today/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

Samsun Escort

jojobet giriş

grandpashabet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

holiganbet giriş

marsbahis

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

bets10

betasus giriş

kingroyal

Featured Kitaifa

FEDHA ZA NDANI ZIWE TEGEMEO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI – DKT. BITEKO

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza
wakati wa Mkutano Maalum wa  Wadau wanaoshughuliki udhibiti wa Ukimwi
Tanzania uliofanyika tarehe 30 Novemba, 2023 mjini Morogoro.

*Asema Serikali inaendelea na juhudi za kutokomeza UKIMWI Nchini

Morogoro

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) kuhakikisha kuwa wanatenga fedha za kutosha kwa ajili ya mapambano dhidi ya UKIMWI nchini badala ya kutegemea wafadhili kwa kiasi kikubwa.

Dkt. Biteko amesema hayo wakati wa Mkutano Maalum wa Wadau wanaoshughulikia Udhibiti wa UKIMWI Tanzania uliofanyika tarehe 30 Novemba, 2023 mjini Morogoro na kuhusisha viongozi wa Serikali, Wadau wa Maendeleo na Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI.

“Tanzania imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya UKIMWI na nawataka TACAIDS na wadau kuhakikisha mnashirikiana kwa pamoja dhidi ya mapambano ya Ukimwi kwa kuongeza ushiriki wa wananchi pia” Amesisitiza Dkt. Biteko

Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Tanzania, kupitia Serikali ya Awamu ya Sita, imeendelea kuchukua jitihada mbalimbali katika mapambano dhidi
ya UKIMWI ambayo yamepelekea kupungua kwa maambukizi mapya, kupungua kwa idadi ya vifo vinavyotokana na UKIMWI, mwamko wa watu wanaotumia dawa (ARV) umeongezeka, maambuki ya Mama kwenda kwa mtoto yamepungua huku lengo likiwa ni kutokuwa na vifo vinavyotokana na UKIMWI ifikapo mwaka 2030.

“Tumeshuhudia pia unyanyapaa dhidi ya Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ukipungua, na haya yote yanatokea huku kukiwa na ushirikiano wa Wadau, hivyo nawapongeza nyote kwa juhudi zenu,” Amesema Dkt. Biteko

Ameeleza kuwa, pamoja na juhudi mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali pamoja na Wadau, bado UKIMWI haujadhibitiwa inavyotakiwa, hali
inayoweza kupelekea maambukizi mapya kuongezeka hivyo ametaka wadau wote wanaohusika kuendelea na juhudi za utoaji afua mbalimbali zenye lengo la kumaliza UKIMWI.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Jerome Kamwela amesema kuwa, Mkutano huo unalenga kutoa nafasi ya mashaurinao kati ya Serikali na Wadau wake katika mapambano dhini ya UKIMWI, na kwamba Mkutano huo ni muhimu
wakati Tanzania ikielekea kufikia lengo la dunia la kumaliza UKIMWI ifikapo mwaka 2030 ambapo inatakiwa kusiwe na maambukizi mapya ya UKIMWI, kusiwe na vifo vinavyotokana na UKIMWI pia, kusiwe na unyanyapaa kwa watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi.

Amesema, Mkutano huo unaangalia usimamizi na uwajibikaji wa pamoja kati ya Wadau na Serikali, kuangalia uendelevu wa kifedha na rasimali, kuangalia uendelevu wa program za huduma pia mkutano huo utawawezesha wadau kujadiliana mafanikio yaliyopatikana, changamoto zilizojitokeza katika mapambano dhidi ya UKIMWI na namna ya kuzitatua.

Viongozi waliohudhuria Mkutano huo maalum ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Joyce Ndalichako na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI, Mhe. Stanslaus Nyongo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima.      

About the author

mzalendo