Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

agb99

Hacking forum

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

bets10

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

amgbahis

holiganbet

superbetin

casinoroyal

casinomilyon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

cratosroyalbet

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

pokerklas

pokerklas

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

jojobet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

enjoybet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

betsat

extrabet giriş

romabet

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

artemisbet

artemisbet giriş

mavibet

Featured Kitaifa

GGML YATOA MILIONI 17 KUNG’ARISHA ATF MARATHON

Written by mzalendo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk. Wilson Charles akimkabidhi zawadi mmoja wa washindi wa mbio za ATF Marathon zilizofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro huku Kaimu Mkurugenzi wa TACAIDS, Dk. Jerome Kamwela akishuhudia.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GGML, Stephen Mhando (kushoto), Ofisa Utawala anayeshughulikia masuala ya fedha- GGML, Njile Mabula wakifurahia nishani baada ya kushiriki mashindano ya ATF Marathon yaliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani yanayofanyika mkoani humo kitaifa Disemba Mosi mwaka huu.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk. Wilson Charles akimkabidhi zawadi mmoja wa washindi wa mbio za ATF Marathon kwa upande wa kilomita 66 baiskeli, zilizofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro.

NAMWANDISHI WETU

KATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi ya Virus Vya Ukimwi (VVU), Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa mchango wa Sh milioni 17 kufanikisha mbio za nyika (ATF Marathon) zilizofanyika mkoani Morogoro ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani yanayofanyika mkoani humo kitaifa Disemba Mosi mwaka huu.

Akizungumzia ushiriki wa GGML katika mbio hizo za ATF Marathon zilizofanyika Morogoro Jumapili tarehe 26 Novemba 2023, Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GGML, Stephen Mhando alisema mchango huo ni moja ya jitihada za kampuni hiyo katika kuwahamasisha na kuwaelimisha wananchi juu ya ugonjwa huo na kuutokomeza ifikapo 2030.

“Ufadhili huu wa GGML unadhibitisha dhamira ya dhati ya kampuni yetu kudumisha uendelevu kwa watu wote. Kwamba tunalenga kuhakikisha kuwa jamii inayozunguka shughuli za mgodi wetu na hata walio nje ya Geita wanafaidika na uwepo wa kampuni hii.

“Fedha hizi tunaamini zitagusa moja kwa moja maisha ya watu wanaoishi na VVU… Geita ikiwa moja ya mikoa yenye idadi kubwa ya wachimbaji madini ikiwamo wasio na VVU pamoja na wenye VVU, kwetu sisi GGML ni vigumu kukwepa jukumu kama hilo la kuwajali watu wa aina hii na kuwawezesha kwa namna mbalimbali.”

Awali akizungumza katika hafla ya kuwapokea washiriki wa mbio hizo zilizofanyika katika viwanja vya shule ya sekondari ya Morogoro iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk. Wilson Charles aliipongeza GGML na wadau wengine kwa kuunga mkono mbio hizo.

“Napongeza juhudi zinazochukuliwa na wadau wetu ikiwamo GGML pamoja wananchi katika ushiriki wao kwenye Mbio za hizi za Nyika zinazolenga kutunisha Mfuko wa Udhibiti wa UKIMWI (ATF) na  kuunga mkono sera ya ‘Tokomeza Ukimwi, Tanzania bila Ukimwi inawezekana,” alisema kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa.

Alisema wananchi wanapaswa kushirikiana na Serikali katika kupambana na maambukizi mapya ya UKIMWI ambayo hupunguza kasi ya maendeleo ya Taifa.

“… nipende kuwapongeza kwa kujitokeza kwa wingi kushiriki mbio hizi kwani mmeonekana mmeguswa na mna nia ya kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha malengo ya kutokomeza maambukizi ya virusi vya UKIMWI ifikapo mwaka 2030 yanafanikiwa,” aliongeza.

Kwa upande wake, Mshiriki wa ATF Marathon, Neema Matheo alisema kuwa mazoezi ni muhimu kwa mwili wa mwanadamu kwani bila mazoezi mwili huweza  kupata magonjwa  yasiyoambukiza kwa haraka na urahisi zaidi yakiwemo ugonjwa wa Moyo na Kisukari.

Katika mbio hizo mshindi wa kwanza wa kilomita 21 alipata zawadi ya Sh 300,000, mshindi wa pili Sh 250,000 na wa tatu Sh 200,000 vivyo hivyo kwa upande wa washindi wa mbio za baiskeli km 66.

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, mwaka huu kitaifa yanafanyika mkoani Morogoro, yakiongozwa na kauli mbiu isemayo “Jamii iongoze kutokomeza Ukimwi”. Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

About the author

mzalendo