Featured • Kitaifa

MWANASHERIA MKUU AHUDHURIA KIKAO CHA 49, AFUATILIA MIJADALA YA WABUNGE

Written by Alex Sonna

 

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, *Mhe. Hamza S. Johari* akifuatilia mijadala mbalimbali iliyowasilishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 15 Juni, 2026.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali amehudhuria Bunge la 13, Mkutano wa 3, Kikao cha 49, Bungeni Jijini, Dodoma.

About the author

Alex Sonna