Featured Kitaifa

TAZAMA SPIKA DKT.TULIA AKIPONGEZWA NA MAMA YAKE MZAZI

Written by mzalendo

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Mhe. Dkt Tulia Ackson, akiwa amepakatwa na Mama yake mzazi Bi. Nkundwe Mbonile akimpongeza kwa ushindi wa Urais wa IPU baada ya kumtembelea nyumbani kwake Rungwe Mkoani Mbeya leo tarehe 12 Novemba, 2023.

About the author

mzalendo