Uncategorized

RAIS SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA BARAZA LA UTALII DUNIANI (WTTC) KIGALI RWANDA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na
Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakati wakielekea kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakishiriki Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.   
Kikundi cha ngoma za Utamaduni chenye asili ya Rwanda kikitumbuiza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.  
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.

About the author

mzalendo