Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

kavbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

holiganbet güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

holiganbet

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

holiganbet giriş

jojobet giriş

matbet giriş

matbet

deneme bonusu

sekabet

jojobet

holiganbet

casinomilyon

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

amgbahis

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

 MRADI WA UMEME WA IJANGALA WA 360 kW KUWA CHACHU SHUGHULI ZA KIUCHUMI NJOMBE 

Written by mzalendo

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme Ijangala Kijiji cha Masisiwe, Wilayani Makete, mkoani Njombe.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme Ijangala, Kijiji cha Masisiwe, Wilayani Makete, mkoani Njombe.

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Tandala Dayosisi ya Kusini kati, Wilayani Makete, Mkoani Njombe baada ya uzinduzi wa Mradi wa kufua  Umeme Ijangala.


Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga akisalimiana na Mke wa Makamu wa Rais Mama Jenisia Mpango, wakati wa Hafla ya uzinduzi.wa Mradi wa kufua  Umeme Ijangala  wakati walipokutana na Wananchi wa Kijiji cha Tandala Dayosisi ya Kusini kati, Wilayani Makete, Mkoani Njombe

……………………….

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Philip Mpango tarehe 27, Oktoba 2023 amezindua rasmi Mradi wa  Kufua Umeme wa Maji Ijangala wa Kilowati 360 ,unaomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kusini Kati katika kijiji cha Masisiwe Wilaya ya Makete Mkoani Njombe.

Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi huo, Dkt. Mpango ameelezea  kufurahishwa kwake na uwepo wa Mradi, na kuwataka Wadau wengine kujitokeza kuwekeza kwenye miradi ya namna hiyo katika kuhakikisha Tanzania inakuwa na umeme wa kutosha, wa uhakika na wa bei nafuu.

 “Mradi huu umegharimu takribani shilingi bilioni 3 milioni 841. Kiasi cha pesa hizo,  milioni 997 zimefadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), pamoja na Benki ya Maendeleo (TIB) kutoa Dola za
Kimarekani 850 kwa mkopo wenye riba nafuu.” Alisema Dkt. Mpango.

Dkt. Mpango amesema, umeme ni kichocheo cha maendeleo ya watu kwa kuwa bidhaa za mazao ya misitu, kilimo, ufugaji na uvuvi lazima zisindikwe kwa kutumia nishati ya uhakika na ya bei nafuu.

“Sasa ili tufike hapo, tunahitaji uwekezaji imara na katika uzalishaji, usafirishaji na nishati ya umeme katika maeneo ya uzalishaji na usindikaji wa bidhaa”. Amesema Mhe. Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Wizara ya Nishati kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa Mradi wa Rumakali ili kuongeza upatikanaji wa Umeme Wilayani Makete.

Akizungumza wakati wa Hafla hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amemhakikishia Makamu wa Rais kuwa,  Wizara ya Nishati inaendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha vijiji vyote
vinafikiwa na Umeme kwa wakati na kuwa kwa Wilaya ya Makete wanakaribia kumaliza kupeleka umeme kwa vijiji vyote 98

“Tunategemea hadi kufika terehe 30/10/2023 tutakuwa tumepiga hatua Ili Megawati 80 zote za mradi wa Rusumo ziweze kuingia kwenye Gridi ya Taifa”

“Kupitia REA na TANESCO tunatekeleza miradi mbali mbali ya nishati ikiwemo miradi ya kuzalisha pamoja na kusafirisha umeme sio tu ndani ya nchi yetu lakini Kwa kuunganisha nchi nyingine zikiwemo Zambia, Kenya, Uganda, Burundi na Malawi.” Amesema Naibu Waziri Kapinga.

Awali, akizungumza katika hotuba yake kwa mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkuu wa Dayosisi ya Kusini Kati, Askofu Wilson Sanga alieleza kuwa, Mradi ulianza rasmi kwa tafiti mbalimbali mwaka 2010, lakini ujenzi ulianza rasmi Machi 2021 kama shughuli ya kwanza ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Limited, kampuni iliyoanzishwa na Dayosisi na kusajiliwa kwa mujibu wa sheria za nchi.

“Kwa sasa mradi unazalisha umeme wa kilowati 360 na umeunganishwa na Gridi ya Taifa (National Grid) kwa kufuata makubaliano ya kimkataba kati ya TANESCO na Nishati Lutheran (DKK) Investment Limited yaliyosainiwa Desemba 2020, kufuata fursa zilizopo kwenye chanzo ingawa kinaweza kutoa umeme wa hadi megawati 2, iwapo mitambo itaongezwa”. Amekaririwa Askofu Sanga.

Askofu Sanga amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetoa ruzuku na imeendelea kuchangia sehemu ya gharama za ujenzi ambapo jumla ya shilingi za kitanzania milioni 997.5 zimetolewa pamoja na mkopo nafuu kupitia Benki ya Maendeleo ya TIB (Dola za Marekani 400,000) sawa na
zaidi ya milioni 850 fedha za kitanzania.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa Serikali na Viongozi wa Kidini na wakazi wa Makete.

About the author

mzalendo