Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

ramadabet

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Uncategorized

DP WORLD YAINGIA MKATABA WA MIAKA 30 NA SERIKALI YA TANZANIA KUFANYA UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Sultan Ahmed bin Sulayem katika hafla ya Utiaji saini Uwekezaji na Uendeshaji wa Sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Oktoba, 2023.

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Makame Mbarawa akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Godius Kahyarara wakitia saini Mkataba wa Nchi Mwenyeji baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya DP World ya Dubai iliyowakilishwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Sultan Ahmed bin Sulayem kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Oktoba, 2023.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPA Mhe. Balozi Ernest Mangu akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem mara baada ya kusaini Mkataba wa Uendeshaji wa Gati namba 4 mpaka 7 za Bandari ya Dar es Salaam kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Oktoba, 2023. 

……………..

*DP World kuanza kwa kuwekeza dola milioni 250 kuboresha bandari 

*Uwekezaji kufika dola bilioni moja pamoja na uendelezaji wa maeneo mengine ya shughuli za bandari *DP World kukodishwa gati namba 4-7, na kuruhusiwa kutoa huduma kwenye gati namba 0-3 

*DP World itashughulika na meli kubwa za magari, mizigo, nafaka, mafuta na makontena kwa mahitaji ya  sasa na baadaye kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini, na kuiunganisha Tanzania na masoko ya  dunia. 

  

  

Dodoma, Tanzania, Oktoba 22, 2023: Tuna furaha kuwaarifu kuwa kampuni ya DP World imesaini  mkataba wa miaka 30 na Serikali ya Tanzania kuendesha na kuboresha maeneo mahususi ya Bandari  ya Dar es Salaam, na kuiunganisha Tanzania na masoko makubwa duniani. 

Mkataba huo wa uendeshaji ulitiwa saini leo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari za Tanzania  (TPA), Plasduce Mbossa, na Sultan Ahmed Bin Sulayem, Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni  Tanzu za DP World, mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu  Hassan. 

Ukiainisha maeneo mahususi ya uwekezaji, mkataba huu wa uendeshaji na uboreshaji unalenga  kuongeza ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam kwenye usafirishaji na uchukuzi wa mizigo inayoingia  na kutoka nchini Tanzania. DP World itaanza kwa kuwekeza dola milioni 250 kuboresha bandari, na  uwekezaji unatarajiwa kufikia dola bilioni moja ikiwa ni pamoja na uendelezaji wa maeneo mengine ya  shughuli za bandari. 

Uwekezaji huu utakuwa na faida kubwa kwa Tanzania hasa katika maeneo muhimu kama vile  kutengeneza ajira na kuongeza urahisi wa kupata huduma na bidhaa, pamoja na mambo mengine.

 ©Copyright – DP World 2023 

Kwa uwekezaji huu, bandari ya Dar es Salaam itaunganishwa na maeneo mengine ya mbali kwenye  eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa kutumia mtandao wa barabara, reli, njia kuu za kupitisha  mizigo (logistics corridors) na bandari nyingine, na hivyo kusaidia sana kupunguza pengo la mahitaji ya  huduma za uchukuzi barani Afrika na kuunganisha biashara za eneo hili na masoko ya dunia. 

Kupitia mkataba huo wa uendeshaji, DP World itakodishwa gati namba 4-7, na kuruhusiwa kutoa  huduma kwenye gati namba 0-3 katika bandari ya Dar es Salaam. Uwekezaji huu mpya utaimarisha  zaidi bandari hiyo ambayo katika miaka ya karibuni ilinufaika na jitihada za serikali ya Tanzania  kuboresha bandari zake. 

DP World itafanya kazi na TPA na wadau wengine wa bandari kuhakikisha kasi ya uondoaji wa mizigo  bandarini inaongezeka na kwa utaratibu wa kisasa – ikizingatia upekee wa bandari ya Dar es Salaam  kama lango muhimu la usafirishaji (kwa njia ya maji) wa madini ya shaba kutoka Afrika ya Kati na Kusini  kwenda kwenye masoko ya kimataifa. 

Kuongezeka kwa ufanisi kutavutia meli nyingi na kubwa zaidi kutumia bandari ya Dar es Salaam; jambo  litakalopunguza gharama kwa waagizaji na wasafirishaji wanaotumia bandari hiyo. 

Vilevile, DP World itawekeza kwenye miundombinu ya kisasa kwenye bandari hiyo, ikiwemo uwekaji  wa majokofu ili kusaidia wakulima na wafanyabiashara ya mbogamboga na matunda kuhifadhi bidhaa  zao zisiharibike kabla ya kusafirishwa. Zaidi ya hapo uwekezaji utaongeza urahisi wa kufikika kwa  maeneo yanayotumia reli na yale yatakayotengwa kama maeneo ya uwekezaji ili kuboresha  miundombinu na kuongeza ushawishi wa Tanzania kuvutia biashara duniani. 

Akizungumza katika utiaji saini huo, Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni Tanzu za DP World,  Sultan Ahmed Bin Sulayem, alisema: “Ni heshima kubwa kwetu kushirikiana na Serikali ya Tanzania  kuiboresha Bandari ya Dar es Salaam. Hatua hii inaendana na mipango ya kimkakati ya maendeleo  inayopangwa na Tanzania na ni uthibitisho wa uongozi mahiri wenye maono wa Mheshimiwa Rais 

Samia Suluhu Hassan. Jambo hili litatoa fursa nyingi kwa eneo hili la Afrika kwa kuliunganisha na  masoko ya dunia, kutengeneza ajira nyingi zaidi, kuongeza upatikanaji wa huduma na bidhaa, na  kuongeza tija kwa wadau wote. Mkataba huu ni mwendelezo wa dhamira ya DP World kuunganisha  watu na biashara kwa lengo la kukuza uchumi wa dunia. Pamoja na bandari nyingine tunazofanya nazo  kazi, uwekezaji huu ni hatua nyingine kwenye jitihada zetu pana za kushirikisha wataalamu wetu wa  kimataifa na wazawa wa nchi husika kukuza mnyororo wa usafirishaji ili kukuza uchumi wa bara zima  la Afrika”.  

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alisema: “Kusainiwa kwa mkataba huu baina ya  Serikali ya Tanzania na DP World ni tukio kubwa kwa sababu unatupa uwezo wa kujenga miundombinu  ya kisasa kwa kutumia ushirikiano baina ya serikali na sekta binafsi. Kwa kutumia utaalamu wa DP  World, bandari hii itakuwa chachu ya kusababisha kupatikana kwa ajira za moja kwa moja na nyingine  kupitia sekta kama vile usafirishaji, usambazaji na mnyororo mzima wa sekta hii. Kikubwa zaidi, 

 ©Copyright – DP World 2023 

Mamlaka ya Bandari (TPA) itamiliki hisa kwenye kampuni itayotekeleza uwekezaji huu bandarini, na  hakutakuwa na ajira yoyote itakayopotea.” 

Kwa upande wake, akizungumza katika tukio hilo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari za  Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, alisema: “Tuna furaha kubwa kushirikiana na DP World kwenye  uboreshaji wa bandari ya kimkakati ya Dar es Salaam. Mradi huu utaongeza tija kwa watumiaji na  kuisaidia serikali katika lengo lake la kupunguza gharama za usafirishaji. Mradi huu wa kimkakati ni  ushahidi wa uwezo wetu wa kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu kwa kushirikiana na wabia  wetu, na hivyo kuipa serikali nguvu ya kutumia fedha zake kwenye sekta nyingine zenye uhitaji zaidi”. 

DP World inaendelea kufanya uwekezaji mkubwa kufikia malengo yake ya kimkakati barani Afrika  yanayolenga kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi kwa kuwezesha biashara na kuunganisha  masoko kwenye mtandao wa dunia. 

About the author

mzalendo