Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

1xbet

maxwin, maxwin giriş

smartbahis

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

telegram ifşa

smartbahis

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

meritking güncel giriş

betpark

jojobet

tambet

ultrabet

ultrabet

piabellacasino

setrabet

pulibet

perabet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

meritking

betsat giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

Featured Kimataifa

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA LA KISASA LA MIFUGO, MILAN, ITALIA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mashine ya kunyonyeshea Ndama iliyopo katika shamba la kisasa la mifugo la Alessandra (Artificial Intelligence Farm) ambalo ni maarufu kwa teknolojia ya kisasa ya kutunza mifugo, lililopo Milan, Italia Oktoba 19, 2023. Wengine pichani kutoka kulia ni Balozi wa Tanzania Nchini Italia, Mahmoud Thabiti Kombo, Mmiliki wa shamba hilo Alessandra Soresina na Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Alessandra Seresina ambaye ni Mmiliki wa shamba la kisasa la mifugo Alessandra (Artificial Intelligence Farm) kuhusu ufugaji wa kisasa, wakati alipotembelea shamba hilo lililopo Milan, Italia Oktoba 19, 2023. Kushoto ni Balozi wa Tanzania Nchini Italia, Mahmoud Thabiti Kombo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia majani ambayo hutumika kama malisho ya mifugo kwenye shamba ya mifugo la la Alessandra ambalo ni shamba la kisasa la mifugo (Artificial Intelligence Farm) na maarufu kwa teknolojia ya kisasa ya kutunza  mifugo, wakati alipotembelea shamba hilo lililopo Milan, Italia Oktoba 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia zoezi la ukamuaji wa maziwa kwa kutumia mashine alipotembelea shamba la kisasa la mifugo la Alessandra (Artificial Intelligence Farm) ambalo ni maarufu kwa teknolojia ya kisasa ya kutunza mifugo, lililopo Milan, Italia Oktoba 19, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

………….

*Ashuhudia ng’ombe wenye uwezo wa kuzalisha lita 35 hadi 70 kwa siku

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa la Alesandra lilipo Milan nchini Italia, ambalo linaendeshwa kwa kutumia mifumo ya kisasa ya kielektoniki ikiwemo ukamuaji wa maziwa kwa kutumia roboti.

Akiwa katika shamba lenye takribani ngombe 500 Mheshimiwa Majaliwa ameshuhudia mifumo bora ya ufugaji, ulishaji , unyonyeshaji na ukamuaji wa maziwa, ambapo ng’ombe mmoja anauwezo wa kutoa lita kuanzia 35 hadi 70 kwa siku na kumuwezesha mfugaji kupata tija zaidi.

Waziri Mkuu alitembelea shamba hilo jana (Alhamisi, Oktoba 19, 2023) na alionesha kufurahishwa na teknolojia inayotumika katika ufugaji huo. Waziri Mkuu yuko nchini Italia akimuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani ulioanza Oktoba 16 hadi Oktoba 20, 2023, Rome nchini Italia.

Viongozi wengine walioambatana na Mheshiwa waziri Mkuu kutembelea shmba hilo shamba hilo ni pamoja na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Shamata Shaame Hamisi ambaye alisema amefurahishwa na misingi bora ya ufugaji na kwamba utaratibu huo ukitumika nchini utaongeza tija katika sekta ya mifugo.

Alisema aina ya ufugaji inayotumika kwenye shamba hilo kuanzia hatua uandaaji wa malisho, ukamuaji wa maziwa, usafirishaji na utunzaji wa mifugo aliojifunza shambani hapo atakwenda kuufanyia kazi kwa lengo la kuimarisha sekta ya mifugo ikiwa ni pamoja na kuongeza mapato kwa wafugaji na Taifa kwa ujumla.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde alisema amefurahishwa na namna ya uendeshaji katika shamba hilo ambalo pia wanafanya kilimo mseto kwa kufuga, kulima malisho ya mifugo na kutumia kinyesi cha ng’ombe kuzalisha nishati ambayo wanaitumia kwa shughuli za shambani na ziada kuuza kwenye gridi ya Taifa.

Alisema jambo jingine lililomfurahisha katika shamba hilo ni namna ambavyo mifugo yao imewekewa hereni za kielektroniki kwa ajili ya utambuzi ambazo zinaiwezesha nchini kujua idadi ya ng’ombe pamoja na maendeleo yake ikiwemo kutambua magonjwa, hivyo atakutana viongozi wa sekta husika ili kuangalia namna bora ya kuboresha ufugaji nchini.

Naye, mfugali wa ng’ombe kutoka Wami Sokoine, Morogoro, Mainga Ole Kalaita ambaye alitembelea shamba hilo kwa ajili ya kujifunza ufugaji bora alisema amepata elimu ya ufugaji bora na atakwenda kuwashauri wafugaji wenzake nchini wabadilike ili waendane na mahitaji ya sasa ya soko ikiwa ni pamoja na kubadili njia za ufugaji. “Hakuna haja ya kuwa na mifugo mingi isiyokuwa na tija, tubadilike tufuge kisasa.”

Ole Kalaita alisema kuwa kuna haja ya wafugaji nchini kukubali mifugo iwekewe hereni kwa ajili ya utambuzi wa aina ya uzao wa ngombe kwani katika masoko ya kimataifa lazima wahoji historia ya mfugo, aliiomba Serikali iendelee kuwaelimisha wafugaji umuhimu wa kuwa na taarifa za mifugo.

Awali, mmiliki wa shamba hilo, Bibi Alessandra Soresina alisema katika shamba hilo wanatumia teknolojia ya uhimilishaji wa mifugo kwa lengo la kuwa  na kosafu za mifugo yao. Teknolojia hiyo inawasaidia kuwa na uhakika wa kuwa na muendelezo mzuri wa ng’ombe wanaotoa maziwa kwa wingi. “Wakati mwingine hutumia akili bandia ili kuweza kubaini mbegu za ngombe jike pekee kwa ajili ya uhimilishaji ila njia hii hugharimu fedha nyingi zaidi.”

Alisema ng’ombe wote wanapewa chakula kinachozalishwa shambani hapo kwa kuchanganya mahindi na nyasi zilizohifadhiwa vizuri kwa  kutumia teknolojia ya kisasa na mifugo hiyo inapewa chakula mara tatu kwa siku ambapo ratiba hiyo inaweza kubadilika kulingana na msimu. Kwenye shamba hilo hakuna madume na iwapo ikitokea ng’ombe amezaa ndama dume, ndama hao huuzwa.

Aliongeza kuwa ng’ombe wao wamevalishwa hereni ikiwa ni utambulisho rasmi unaohusisha aina, uzao, asili, utambuzi wa mmiliki na kuwezesha ufuatiliaji wa maendeleo yake ikiwemo kutambua magonjwa, uwezo wa kutoa maziwa pamoja na kujua kama anakula vizuri.

About the author

mzalendo