Uncategorized

MAJALIWA ATETA NA RAIS WA JIMBO LA LOMBARDIA

Written by mzalendo

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana alipowasili kwenye ofisi za jimbo hilo, Milan, Italia 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana kuhusu ushirikiano kati ya jimbo hilo ambalo ni maarufu kwa ujenzi wa viwanda pamoja na Tanzania, kwenye ofisi za jimbo hilo, Milan, Italia

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi Rais wa Jimbo wa Lombardia Mhe. Attilio Fontana baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye kwenye ofisi za jimbo hilo, Milan, Italia Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

About the author

mzalendo