Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE: ACHENI KUTUMIA GARI LA WAGONJWA KWA MATUMIZI MENGINE

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene   akizungumza  leo na wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo katika  Jimbo la Kibakwe,  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma, ikiwa ni ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  katika Jimbo Kibakwe ambapo ameitaka Halmashauri hiyo kuacha kutumia gari la wagonjwa kwa matumizi mengine 

Sehemu ya wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo katika  Jimbo la Kibakwe,  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene  , ikiwa ni  ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  katika Jimbo Kibakwe  

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akisalimiana na baadhi ya vingozi na  wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo katika  Jimbo la Kibakwe,  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma mara baada ya kuzungumza nao ikiwa ni  ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  katika Jimbo Kibakwe 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akizungumza na baadhi ya Walimu wa Shule ya Msingi ya Chilendu iliyopo katika Kata ya Rudi iliyopo katika  Jimbo la Kibakwe,  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma mara baada ya kuzungumza na wananchi katika mkutano wake, ikiwa ni  ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  katika Jimbo Kibakwe 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akiwa ameambatana na baadhi ya vingozi na  wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo katika  Jimbo la Kibakwe,  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma kabla ya mkutano wa wananchi wa Kata hiyo.  ikiwa ni  ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  katika Jimbo Kibakwe 

Diwani wa Viti Maalum Mhe. Dorisia  Fweda  akizungumza na wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo katika  Jimbo la Kibakwe,  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene   kuzungumza nao ikiwa ni  ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  katika Jimbo Kibakwe 

Diwani wa Kata ya Pwaga Mhe. Elisha Mgonela  akizungumza na wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo katika  Jimbo la Kibakwe,  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene   kuzungumza nao ikiwa  ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi  katika Jimbo Kibakwe 

NA.MWANDISHI WETU-DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene ameutaka Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuacha kulitumia gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) la Kituo cha Afya cha Rudi kwa matumizi mengine badala yake gari hilo litumike  kwa lengo lililokusudiwa ili kusaidia kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na wagonjwa wengine pindi linapohitajika.

Amesema ni aibu kuona gari ya kubebea wagonjwa likitumika kwa ajili ya kufanyia mambo mengine huku kusudio la msingi wa gari hilo llikiwa limeachwa huku akina mama wajawazito na wagonjwa wengine mahututi wakihatarisha maisha yao.

Mhe.Simbachawene ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Rudi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi ya Chilendu, Jimbo la Kibakwe katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, ikiwa ni ziara yake ya kimkakati ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 

Amesema malalamiko ya wananchi walio katika hali duni ni mengi kuhusu matumizi ya gari hilo, kusudio la gari hili ilikuwa ni kuwasaidia wagonjwa walioshindwa kutibiwa  katika Kituo hicho cha afya waweze kukimbizwa katika Hospitali ya juu zaidi ili kuokoa maisha yao lakini muda mwingi gari hilo limekuwa likitumika kwa shughuli zingine katika  Halmashauri ya Mpwapwa ambako ni mbali na kituo kilipo.

“Unakutana na gari la kubebea Wagonjwa limebeba maofisa wa Halmashauri ilhali huku wagonjwa wanaohitaji kusafirishwa kwa matibabu zaidi wakilazimika kukodi gari kutoka kwa watu binafsi, jambo hili halikubaliki” amesema Mhe.Simbachawene.

Aidha, Mhe.Simbachawene ametaka gari hilo liwepo saa 24 katika Kituo hicho cha Afya badala ya kuliweka katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa kwa madai kuwa hakuna wagonjwa wanaolihitaji.

Ameutaka Uongozi huo wa Halmashauri kujitathmini kama wapo pale kwa ajili ya kuwahudumia wananchi kwani haiwezekani wananchi wakiachwa wanataabika na muda mwingine hupoteza maisha ilhali gari lipo ila linatumika kwa matumizi yasiyo yake.

Kwa mujibu wa wananchi, licha ya kujitahidi kutumia nguvu zao kujenga sehemu maalum ya kuhifadhia gari hilo la wagonjwa katika kituo hicho cha afya lakini gari hilo muda mwingi limekuwa halikai hapo.

Katika hatua nyingine, Mhe.Simbachawene ametoa wito kwa akina mama wajawazito kuwahi katika vituo vya afya mara waonapo dalili za kuanza kwa uchungu ili kuepuka vifo visivyo vya lazima huku akiwasihi manesi kuwahudumia wagonjwa kwa upendo kama viapo vyao vinavyowataka 

About the author

Alex Sonna