marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

Featured Kitaifa

DC SHEKIMWERI ATAKA MAOFISA TARAFA,WATENDAJI WA KATA,WENYEVITI WA MITAA JIJI LA DODOMA KUSIMAMIA KWA UFANISI ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri,akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya siku mbili ya kujenga uwezo kuhusu mfumo wa Anwani za Makazi kwa Maafisa Tarafa,Watendaji wa Kata,Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma leo Septemba 14,2023 jijini Dodoma.

Mratibu wa Anwani za Makazi Kitaifa kutoka Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Jampyon Mbugi,akitoa maelezo kuhusu Mafunzo ya kujenga uwezo wa Mfumo wa Anwani za Makazi  Maafisa Tarafa,Watendaji wa Kata,Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma leo Septemba 14,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri (hayupo pichani) wakati akifungua Mafunzo ya siku mbili ya kujenga uwezo kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi  Maafisa Tarafa,Watendaji wa Kata,Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma leo Septemba 14,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua mafunzo ya siku mbili ya kujenga uwezo kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi  Maafisa Tarafa,Watendaji wa Kata,Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma leo Septemba 14,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri amewataka  Maofisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi kwa kuwa anuani za makazi ni hitaji la msingi kwasasa kutokana na kukua kwa teknolojia nchini.

 Shekimweri ameyasema hayo leo Septemba 14,2023 jijini Dodoma wakati akifungua  mafunzo ya siku mbili ya kujenga uwezo  Maafisa Tarafa,Watendaji wa Kata,Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi.

“Kwa sasa hivi ni rahisi kuita gari la kukodi (Uber) ukaonesha eneo unapokwenda na huduma hiyo ikakufikia, hivyo unaweza kuita huduma ukiwa nyumbani kwako,”amesema Bw.Shekimweri

Amesema kuwa  taarifa zinaonesha kwamba uwepo mfumo wa anwani za makazi nchini tayari umeleta mafanikio makubwa katika utendaji kazi wa serikali ikiwamo ufuatiliaji wa kodi za serikali.

“Zoezi hili ni lazima likatekelezwe kutokana na Jiji linakua kwa kasi, makazi yanaongezeka, mitaa inaongezeka hakuna namna zaidi ya kuziingiza taarifa hizi kwenye mifumo yetu, zoezi hili ili lifanyike kwa mafanikio ni lazima liwe shirikishi hasa madiwani hivyo kwenye mpango kazi muone umuhimu wa kuwashirikisha,”amesema 

Hata hivyo ametoa wito kupitia vikao vya kisheria ikiwamo Mabaraza ya madiwani kupewa muda wa kuwasilisha elimu ya suala hilo na wajibu wao wa kuhamasisha wananchi kujisajili na mfumo wa anwani za makazi.

Kwa upande wake  Mratibu wa Anwani za Makazi Kitaifa kutoka Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Jampyon Mbugi, amesema hadi sasa Jiji la Dodoma limekusanya taarifa na kutoa anuani za makazi 245,000 kati ya hizo 163,000 ni za majengo na 81,277 ni viwanja vitupu.

“Wananchi 299,330 ndio waliosajiliwa kwenye mfumo wa anwani za makazi, idadi hii haiakisi uhalisia wa takwimu za idadi watu waliopo ndani ya Jiji la Dodoma inayokadiriwa kuwa zaidi ya 765,000,”alisema.

Aidha amesema kuwa  zaidi ya wananchi 465,849 hawajasajiliwa kwenye mfumo huo na hivyo serikali imeamua kuongeza msukumo wa suala hilo hususan kwa kutumia Wenyeviti, Watendaji wa Kata na Mitaa.

”Dhamira ya Wizara ni kuhakikisha Dodoma inakuwa ya mfano na kuwa chachu kwa halmashauri zingine kuja kujifunza namna ya kufanikisha utekelezaji wa mfumo huo.”amesma Mhandisi Mbugi

About the author

Alex Sonna