Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

KOREA KUSINI YAWEZESHA MIKOPO YA DOLA BIL.1 KWA MWAKA 2021-2025

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akimkabidhi zawadi ya mlango uliotengenezwa kwa mbao za asili kutoka Zanzibar, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Uchumi na Fedha wa Korea Mhe. Kyungho Choo, baada ya kuhitimisha mazungumzo kati yao yaliyolenga kuimarisha ushirikiano, yaliyofanyika, Busan, Korea ya Kusini.

Mazungumzo yakiendelea wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, alipoongoza ujumbe wa Tanzania kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Uchumi na Fedha wa Korea Mhe. Kyungho Choo, kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano, yaliyofanyika, Busan, Korea ya Kusini.

Kamishna Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade, na Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje Bw. Melcksedeck Mbise (kushoto), wakifuatilia mazungumzo baina ya Tanzania na Korea, yaliyofanyika, Busan, Korea ya Kusini.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akizungumza wakati Tanzania ilipokutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Uchumi na Fedha wa Korea Mhe. Kyungho Choo, kujadiliana masuala ya mashirikiano, Busan, Korea ya Kusini.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Uchumi na Fedha wa Korea Mhe. Kyungho Choo, akizungumza wakati alipokutana na ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, katika ukumbi wa hotel ya Ananti Hilton, Busan, Korea ya Kusini.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Busan, Korea Kusini)

Na. Saidina Msangi, WF, Busan, Korea.

Serikali ya Jamhuri ya Korea imeiwezesha Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Uchumi (EDCF)  wa Korea  yenye thamani ya  Dola za Marekani bilioni moja ili kugharamia miradi ya maendeleo katika kipindi cha kuanzia mwaka  2021 hadi 2025.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, alieongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano kati ya Korea na Afrika (KOAFEC) kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alipokutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Uchumi na Fedha wa Korea Mhe. Kyungho Choo, pembezoni mwa Mkutano kati KOAFEC unaoendelea jijini Busan nchini Korea Kusini.

Alisema kuwa mikopo hiyo kutoka Korea imesaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali katika pande zote mbili za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadhi ya miradi iliyoidhinishiwa fedha mwezi Februari, 2023 ipo katika hatua mbalimbali za maandalizi.

‘‘Miradi iliyokatika hatua mbalimbali za utekelezaji ni pamoja na ujenzi wa hospitali ya rufaa ya Binguni inayotarajiwa kugharimu takriban dola za Marekani milioni 164, kuboresha hospitali ya Taifa ya Muhimbili dola milioni 227.3, ujenzi wa taasisi ya mafunzo dola milioni 75.8 na ujenzi wa taasisi ya teknolojia dola milioni 60, ujenzi wa kituo cha kisasa cha mafunzo ya reli dola milioni 75.8 na fedha nyingine zitaelekezwa katika sekta za nishati, uvuvi na fedha,’’alisema Mhe. Mkuya.

Alisema kuwa Tanzania ilipata mkopo wa masharti nafuu kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Uchumi (EDCF) kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Selander (Tanzanite Bridge) uliogharimu Dola za Marekani milioni 123.65 ambapo daraja hilo si tu limebadilisha taswira ya jiji la Dar es Salaam, lakini pia limepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi.

Aidha,  Serikali ya Jamhuri ya Koreakupitia benki ya Exim ya Korea pamoja na  Shirika la Bima la Korea (Ksure) imeendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kutekeleza mradi wa reli ya kisasa ya (SGR) ikihusisha utengenezaji wa vichwa na mabehewa ya treni.

‘‘Jumla ya fedha zilizotolewa na benki ya Exim na Ksure kwa ajili ya ununuzi wa vichwa na mabehewa ya treni  yanayotengenezwa na Kampuni ya M/S Hyundai Rotem ya Jamhuri ya Korea ni dola za Marekani milioni 302.4”, alieleza Dkt. Mkuya.

Aidha katika mkutano huo, Mhe. Dkt. Mkuya aliiomba Serikali ya Jamhuri ya Korea kuharakisha mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Binguni na mradi wa Uendelezaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na umuhimu wa miradi hiyo katika kutoa huduma za Afya za kibingwa nchini Tanzania.

 Akizungumza kuhusu uchumi wa Tanzania Mhe. Dkt. Mkuya alisema kuwa licha ya changamoto ya Covid 19 na vita ya Urusi na Ukraine Uchumi umeanza kuimarika katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2023 ambapo ukuaji uliorekodiwa ulikuwa wa asilimia 5.6 kwa Bara na ulikuwa asilimia 6.2 kwa Zanzibar.

Mhe. Dkt. Mkuya, aliishukuru Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kuendelea kuiunga mkono Tanzania, kutekeleza ajenda ya Maendeleo ya Taifa kama ilivyoainishwa chini ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025, Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2050 na Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano 2021/22–2025/26 na Mpango wa Maendeleo wa Zanzibar 2021 -2026.

Alisisitiza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Dkt. Hussein  Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, itaendelea  kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu.

Kwa upande wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Uchumi na Fedha wa Korea Mhe. Kyungho Choo, alisema kuwa Korea itaendelea kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

About the author

Alex Sonna