Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

kavbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

kavbet

mavibet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

SERIKALI YAZINDUA MIONGOZO MINNE YA ELIMU MAALUM NA JUMUISHI

Written by Alex Sonna

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akinyanyua Miongozo mara baada ya kuzindua miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, amezindua miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi ambayo inalenga kuboresha utoaji wa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum ikiwamo kuwafuata majumbani.

Miongozo hiyo ni pamoja na mwongozo wa shule ya nyumbani, ziara ya nyumbani, upimaji na ubainishaji na uendeshaji wa elimu maalum na jumuishi.

Akizindua miongozo hiyo leo Septemba 12, 2023 jijini Dodoma, Prof.Mkenda amesema miongozo hiyo italeta mabadiliko chanya miongoni mwa wadau katika kutimiza azma ya serikali ya kuwapatia fursa ya elimu bora wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini.

Ametoa wito kwa viongozi, wakuu wa taasisi na wadau wanaojishughulisha na utoaji elimu maalum na jumuishi kuendelea kushirikiana na serikali kuhamasisha umuhimu wa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum.

“Natoa rai kwa familia na wadau wa maendeleo waendelee kuona umuhimu wa kuchangia juhudi za serikali katika kuwapatia huduma stahiki wanafunzi wenye mahitaji maalum ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa ujifunzaji,”amesema.

Amehimiza wazazi kuona umuhimu wa kuandikisha watoto wote wenye mahitaji maalum katika shule kwa kuzingatia mahitaji ya mtoto.

“Kwa wale watakaohitaji huduma hii ipelekwe majumbani basi wawasiliane na sisi ili kuangalia namna tutakavyoweza kufikisha huduma hii nyumbani kwa mtoto,”amesema.

Aidha, amesema katika Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la 2023 somo la elimu jumuishi na lugha ya alama litakuwa ni lazima kwa mtu yeyote anayeandaliwa kuwa mwalimu hapa nchini.

“Jitihada hizi kubwa mnazoziona zinatokana na msimamo wa Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan na nyie wote mnajua ni mashahidi maandalizi haya yalianza mapema na kama mnavyofahamu Rais wetu anataka kuhakikisha kila mtoto anakwenda shule,”amesema.

Ameishukuru Mfuko wa Serikali ya watu wa Uingereza (UKAID) kupitia program ya Shule Bora na Ali Kimara Foundation kwa kuchangia uandaaji na uchapishaji wa miongozo hiyo.

Naye Mkurugenzi wa Elimu kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Susan Nussu, amesema katika sensa waliyoifanya ya watoto wenye mahitaji maalum hadi Machi mwaka jana walikuwa 66,000 na zaidi ya 55,000 wapo shule za msingi na wengine waliobaki wapo sekondari.

Awali, Mkurugenzi wa Elimu maalum wa Wizara hiyo, Dkt.Magreth Matonya amefafanua kuwa mwongozo wa shule ya nyumbani utasaidia kuhakikisha haachi nyuma mtoto yeyote kwenye upataji elimu.

Amesema mwongozo wa ziara ya nyumbani unakwenda kuwasaidia walimu wanaokwenda ziara za nyumbani kupata taarifa zitakazowezesha kuchukua hatua stahiki.

“Huu mwongozo wa shule ya nyumbani tumekuwa tukiusubiri sana tumekuwa na changamoto kwamba tuna watoto wengine hawawezi kukaa darasani kwa ajili ya changamoto za afya na ulemavu wa kiwango cha juu wao majumbani, tukaa tukasema tuanzishe ambao utasaidia kuhakikisha kwamba hatuwaachi nyuma kwenye upataji elimu,”amesema Dkt.Matonya

Kadhalika, Mzazi wa Ali Kimara ambaye mtoto mwenye ugonjwa adimu, Sharifa Mbarak, ameshukuru serikali kwa kuzindua miongozo hiyo na kwamba ni hatua kubwa zilizopigwa na taifa katika utoaji elimu stahiki kwa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum.

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akizungumza wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Elimu maalum wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt.Magreth Matonya,akitoa utangulizi kuhusu Miongozo  wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Elimu kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Susan Nussu,akizungumza  wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa,akizungumza  wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

Mzazi wa Ali Kimara ambaye mtoto mwenye ugonjwa adimu, Sharifa Mbarak, akishukuru Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kwa kuzindua miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

Diwani wa Kata ya Makulu Hosea Shibago,akizungumza  wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa  Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, (hayupo pichani) akizungumza wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akipokea Tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Ali Kimara Foundation kwa kutambua Mchango wake katika kuhimiza Elimu kwa Watoto wenye Magonjwa Adimu  wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda,akizungumza mara baada ya kupokea Tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Ali Kimara Foundation  wakati wa uzinduzi wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda,akikata utepe kuashiria uiznduzi   wa miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akinyanyua Miongozo mara baada ya kuzindua miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi hafla iliyofanyika leo Septemba 12,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, amezindua miongozo minne ya elimu maalum na jumuishi ambayo inalenga kuboresha utoaji wa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum ikiwamo kuwafuata majumbani.

Miongozo hiyo ni pamoja na mwongozo wa shule ya nyumbani, ziara ya nyumbani, upimaji na ubainishaji na uendeshaji wa elimu maalum na jumuishi.

Akizindua miongozo hiyo leo Septemba 12, 2023 jijini Dodoma, Prof.Mkenda amesema miongozo hiyo italeta mabadiliko chanya miongoni mwa wadau katika kutimiza azma ya serikali ya kuwapatia fursa ya elimu bora wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini.

Ametoa wito kwa viongozi, wakuu wa taasisi na wadau wanaojishughulisha na utoaji elimu maalum na jumuishi kuendelea kushirikiana na serikali kuhamasisha umuhimu wa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum.

“Natoa rai kwa familia na wadau wa maendeleo waendelee kuona umuhimu wa kuchangia juhudi za serikali katika kuwapatia huduma stahiki wanafunzi wenye mahitaji maalum ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa ujifunzaji,”amesema.

Amehimiza wazazi kuona umuhimu wa kuandikisha watoto wote wenye mahitaji maalum katika shule kwa kuzingatia mahitaji ya mtoto.

“Kwa wale watakaohitaji huduma hii ipelekwe majumbani basi wawasiliane na sisi ili kuangalia namna tutakavyoweza kufikisha huduma hii nyumbani kwa mtoto,”amesema.

Aidha, amesema katika Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la 2023 somo la elimu jumuishi na lugha ya alama litakuwa ni lazima kwa mtu yeyote anayeandaliwa kuwa mwalimu hapa nchini.

“Jitihada hizi kubwa mnazoziona zinatokana na msimamo wa Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan na nyie wote mnajua ni mashahidi maandalizi haya yalianza mapema na kama mnavyofahamu Rais wetu anataka kuhakikisha kila mtoto anakwenda shule,”amesema.

Ameishukuru Mfuko wa Serikali ya watu wa Uingereza (UKAID) kupitia program ya Shule Bora na Ali Kimara Foundation kwa kuchangia uandaaji na uchapishaji wa miongozo hiyo.

Naye Mkurugenzi wa Elimu kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Susan Nussu, amesema katika sensa waliyoifanya ya watoto wenye mahitaji maalum hadi Machi mwaka jana walikuwa 66,000 na zaidi ya 55,000 wapo shule za msingi na wengine waliobaki wapo sekondari.

Awali, Mkurugenzi wa Elimu maalum wa Wizara hiyo, Dkt.Magreth Matonya amefafanua kuwa mwongozo wa shule ya nyumbani utasaidia kuhakikisha haachi nyuma mtoto yeyote kwenye upataji elimu.

Amesema mwongozo wa ziara ya nyumbani unakwenda kuwasaidia walimu wanaokwenda ziara za nyumbani kupata taarifa zitakazowezesha kuchukua hatua stahiki.

“Huu mwongozo wa shule ya nyumbani tumekuwa tukiusubiri sana tumekuwa na changamoto kwamba tuna watoto wengine hawawezi kukaa darasani kwa ajili ya changamoto za afya na ulemavu wa kiwango cha juu wao majumbani, tukaa tukasema tuanzishe ambao utasaidia kuhakikisha kwamba hatuwaachi nyuma kwenye upataji elimu,”amesema Dkt.Matonya

Kadhalika, Mzazi wa Ali Kimara ambaye mtoto mwenye ugonjwa adimu, Sharifa Mbarak, ameshukuru serikali kwa kuzindua miongozo hiyo na kwamba ni hatua kubwa zilizopigwa na taifa katika utoaji elimu stahiki kwa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum.

About the author

Alex Sonna