MzalendoBlog
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala
Mzalendo
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala

Home » EWURA YAKIFUNGIA KITUO CHA GBP TABORA KWA KUTOUZA MAFUTA

Featured • Kitaifa

EWURA YAKIFUNGIA KITUO CHA GBP TABORA KWA KUTOUZA MAFUTA

2 years ago
by mzalendoeditor
53 Views
Written by mzalendoeditor

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA , leo 3 Septemba, 2023 imekifungia Kituo cha GBP Tabora, kutokana na kutouza mafuta kwa wateja huku kwenye maghala yake mafuta yakiwemo.

Kituo hicho kimefungiwa baada ya kukiuka Kanuni za uendeshaji biashara ya mafuta nchini.

    FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 4,2023
TANZANIA, KOREA KUSINI KUUNGANISHA NGUVU SEKTA YA MADINI

You may also like

Featured • Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI...

Featured • Kitaifa

RAIS SAMIA APONGEZWA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA...

Featured • Kitaifa

AMREF HEALTH AFRICA YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA...

Featured • Kitaifa

DKT. OMAR AZINDUA MAFUNZO YA UBAINISHAJI NA UPIMAJI WA...

Featured • Kitaifa

𝗪𝗜𝗭𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗧𝗘𝗧𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗠𝗢𝗡𝗚𝗦𝗖𝗢

Featured • Kitaifa

DKT.MADELE AREJESHA FOMU YA UBUNGE DODOMA MJINI

About the author

mzalendoeditor

View all posts

Copyright © 2025. Mzalendo Blog - Design by Yatosha Web Services.

  • Habari
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala