Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk porno

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

milanobet

milanobet

pokerklas

pokerklas

Featured Kitaifa

COSTECH YATOA BILIONI 1.29 KUTEKELEZA MIRADI SABA YA KITAFITI

Written by Alex Sonna

Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti kutoka katika taasisi mbalimbali hapa nchini.
 
Akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo na utoaji ufadhili huo kwa watafiti wanufaika wa miradi hiyo Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema fedha hizo zinatokana na tengeo katika bajeti kuu ya serikali pamoja na michango ya washirika wa maendeleo hususan Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Utafiti la Canada (IDRC) na Shirika la Maendeleo la Taifa la Norway (NORAD).
 
Amesema Serikali imeendelea kuongeza rasilimali fedha, kuweka mazingira rafiki na wezeshi ili kuvutia wadau wengine ndani na nje ya nchi kuwekeza katika shughuli za utafiti na ubunifu nchini.
 
“Mazingira rafiki yameleta ambao umewezesha Serikali katika kipindi cha miaka mitano (2019-2022), kugharamia jumla ya miradi 49 ya utafiti, iliyojumuisha zaidi ya watafiti 235 kutoka Taasisi za Elimu ya Juu na zile za Utafiti na Maendeleo nchini,” amesema Prof Nombo
 
Ameongeza kuwa Taasisi 11 za Elimu ya Juu na Utafiti zimewezeshwa kukarabati na kununua vifaa vya maabara za utafiti na miundombinu mingine. Katika kipindi husika, kiasi cha Shilingi Bilioni 9.04 kimetumika katika kutekeleza matokeo hayo.
 
Akizungumzia matokeo ya utafiti utakaofanyika kupitia ufadhili uliotolewa Prof. Nombo amesema inatarajiwa kuimarisha ufaulu katika somo la hisabati kwa shule za msingi na sekondari, na kuongeza matumizi ya teknolojia zinazoibukia  hususan matumizi ya akili bandia katika kuchagiza maendeleo katika sekta za Kilimo na Uvuvi, Afya, Elimu, na Manunuzi serikalini.
 
“Nimefarijika kuona tafiti zimejikita katika maeneo muhimu ya jamii na yanashirikisha sekta husika, kipekee niwapongeze TAKUKURU ambao mmeshirikiana na vyuo kuingia katika ushindani na kushinda kupata ufadhili Hivyo nasisitiza watafiti kuhusisha wadau wa sekta husika na tafiti mnazofanya na kuzingatia vipaumbele vya tafiti kitaifa( National Reserch Agenda)”, Amesema Nombo

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Dkt. Amos Nungu amesema kupitia mashirikiano hayo yaliyopo, COSTECH imefanikiwa kuleta fedha za utafiti hapa nchini zenye thamani ya takribani TZS. 9 bilion kwa kipindi cha miaka minne. Fedha hizi zimepitia COSTECH kwenda kwa watafiti wetu, na zingine zimeenda moja kwa moja kwao.
 
Ametaja  baadhi ya maeneo yaliyonufaika na fedha hizi ni kuwa ni  Uanzishwaji wa Vigoda viwili vya utafiti katika chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Afrika ya Nelson Mandela (NM-AIST) Arusha na Tathmini ya madhara ya COVID19 kupitia MUHAS, UDOM.
 
“Nitoe wito kwa taasisi za utafiti na vyuo vikuu kuleta Tungo zao (proposals) kwenye eneo la usalama wa chakula. Mwisho wa kuwasilisha ni tarehe 10.09.2023 na kiasi cha fedha za kitanzania shilingi milion 650 zitatumika kufadhili miradi ya utafiti itakayoshinda,”amesema Dkt. Nungu

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  Prof. Carolyne Nombo 
akizungumza jambo leo Septemba 1, 2023 Jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuhitimisha mafunzo na utoaji Tuzo kwa Watafiti Wanufaika wa Mradi wa Utafiti iliyofadhiliwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya  Sayansi na Teknolojia (COSTECH).

Mkurugenzi wa COSTECH Dkt. Amos Nungu akizungumza jambo leo Septemba 1, 2023 Jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuhitimisha mafunzo na utoaji Tuzo kwa Watafiti Wanufaika wa Mradi wa Utafiti iliyofadhiliwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya  Sayansi na Teknolojia (COSTECH).

Baadhi Watafiti kutoka Taasisi mbalimbali, wafanyakazi wa COSTECH pamoja na wadau wakiwa katika hafla ya kuhitimisha mafunzo na utoaji Tuzo kwa Watafiti Wanufaika wa Mradi wa Utafiti iliyofadhiliwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya  Sayansi na Teknolojia (COSTECH).

About the author

Alex Sonna