Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS IBADA YA ASUBUHI KANISA KUU TABORA

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana wanafunzi wa shule ya msingi Tabora Viziwi mara baada ya kushiriki nao Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Tabora Viziwi mara baada ya kushiriki nao Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora

About the author

mzalendoeditor