Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk porno

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

milanobet

milanobet

pokerklas

pokerklas

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU  ATAKA MAGARI MABOVU YALIYOEGESWA KWA MUDA MREFU MPAKA IFIKAPO AGOSTI 3O YAWE YAMETENGENEZWA

Written by Alex Sonna

WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,akizungumza  leo Agosti 7,2023 jijini Dodoma wakati akikabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu.

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako,akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu.

RAIS  wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Bw. Tumaini Nyamuhokya ,akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) akizungumza wakati akikabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu.

WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,akikata utepe wakati  akikabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu hafla iliyofanyika leo Agosti 7,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,akiwasha gari  mara baada ya kukabidhi  magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu hafla iliyofanyika leo Agosti 7,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) vilivyokabidhiwa leo Agosti 7,2023 jijini Dodoma.

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi,akitoa neno la shukrani mara baada ya Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,kukabidhi  Magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu.

WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi  magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa,ameuagiza Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kuhakikisha ifikapo Agosti 30 mwaka huu magari yote mabovu ya serikali yaliyoegeshwa kwa muda mrefu katika karakana za wakala huo yatengenezwe na taarifa ya matengenezo hayo apatiwe.

Waziri Mkuu Majaliwa ametoa  maagizo hayo  leo Agosti 7,2023 jijini Dodoma wakati akikabidhi magari 30 na vifaa vya ofisi za mikoa za Idara ya Kazi na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa Sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Meimosi), iliyofanyika mkoani Morogoro, Mei mwaka huu.

Aidha amewataka kuongeza weledi katika utendajikazi wake kwa kuzingatia mpango maalum wa matengenezo wa magari ya umma.

”TEMESA,hadi Agosti 30 mwaka huu Mnapaswa kutengeneza magari yote ya serikali yaliyoegeshwa katika karakana zenu kwa muda mrefu kisha taarifa hiyo nikabidhiwe pia nataka muongeza weledi katika utendaji kazi wenu kwa kuzingatia mpango maalum wa matengenezo wa magari ya umma.”amesema Waziri Mkuu

Aidha, aamesema kwa magari ambayo yametumika muda mrefu na matengenezo yake yanatumia gharama kubwa, uwekwe mpango maalum wa kuwakopesha watumishi wa umma kwa kuzingatia sheria, badala ya kuendelea kuegeshwa katika ofisi za halmashauri au karakana za TEMESA.

“Kila idara inapaswa kusimamia matumizi ya magari na kuyatunza ili yaweze kudumu kwa muda mrefu. Magari ya serikali yanapaswa kutumika kwa shughuli za umma, sio binafsi na wapewe madereva wenye uweledi,” amefafanua

 katika magari hayo ambayo OSHA imekabidhiwa magari 13, anatarajia wakala huo utaongeza kaguzi katika maeneo ya kazi ili kuendelea kusimamia mazingira bora ya wafanyakazi katika maeneo yao ya kazi.

Pia, kwa Ofisi za Mikoa Idara ya Kazi ambazo zimepatiwa magari 17, ametoa wito kwamba yatumike kwa shughuli za kulinda haki na kuimarisha ushirikiano baina ya mfanyakazi, mwajiri, vyama vya wafanyakazi.

Amesema magari na vifaa hivyo vimetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia ambaye aliridhia kutoa fedha za ndani kununua vitendeakazi hivyo, baada ya Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUTCA) Tuamaini Nyamhoka, kueleza kwamba baadhi ya taasisi za serikali zinazoshughulika na masuala ya wafanyakazi zina vitendea kazi vichache.

Aidha Waziri Mkuu Majaliwa amewaagiza Maofisa Masuuli na wanaosimamia usalama kuwafuatilia na kuwachukulia hatua madereva wa serikali wanaoiba mafuta kwenye magari kwani vitendo hivyo ni sawa na uhujumu uchumi wa nchi.

“Natoa maagizo kwa madereva wote wa serikali wazingatie sheria za nchi ikiwemo usalama barabarani. Kuendesha magari ya serikali sio kigezo cha kuvunja sheria. Pia, maofisa masuuli na maofisa usalama fuatilieni kisha mchukue hatua kwa madereva wa serikali wanaodanganya umbali wa safari na kuiba mafuta,” amesema

Waziri Mkuu amesema kuwa wizi wa mafuta katika magari ya serikali ni sawa na vitendo vya uhujumu uchumi, hivyo madereva watakaobaini kufanya vitendo hivyo wachukuliwe hatua.

Awali, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, amesema ofisi yake itahakikisha inasimamia magari na vifaa hivyo ili vilete tija

”Vitendea kazi hivyo ni muhimu kwani Serikali ya Rais Dk. Samia imedhamiria kwa kutekeleza mikakati ya kuimarisha uwekezaji na kuboresha mazingira ya wafanyakazi.”amesema Prof.Ndalichako

Pia, amesema  serikali inaendelea kuimarisha nguvu kazi kupitia programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi inayotolewa kwa watumishi wa umma na sekta binafsi.

Kwa upande wake, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Bw. Tumaini Nyamuhokya amesema kuwa anamshukuru Rais Dkt. Samia kwa kutekeleza maombi yao kwa haraka.

“Wakati wa sherehe za Mei Mosi, 2023 tuliiomba Serikali ikumbuke taasisi zake za mikoani. Tulimuomba Mheshimiwa Rais kwa sababu tunaona hali halisi huku mikoani. Hatukutegemea kama utekelezaji ungekuwa wa haraka hivi, tunamshukuru sana. Tunatumaini hayo magari yataongeza ajira kwa madereva 30.”

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Waajiri (ATE), Meneja wa Kanda ya Kati Dodoma, Bw. Selestine Leonard amewataka  waajiri na wafanyakazi waendelee kuzingatia usalama wa mahali pa kazi.

“Niwasihi waendelee kuzingatia uadilifu na hasa kujali muda wa kazi. Pia wajiepushe na vitendo vya rushwa mahali pa kazi. Sisi ATE tutaendelea kushirikiana nao,” amesema 

About the author

Alex Sonna