Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonuslarΔ± veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ΰΈ‹ΰΈ±ΰΈšΰΉ„ΰΈ—ΰΈ’

vdcasino

xxxΰΉ€ΰΈ’ΰΉ‡ΰΈ”ΰΈ’ΰΈ±ΰΈš

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

Δ°majbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

π—§π—”π—”π—¦π—œπ—¦π—œ 𝗭𝗔 𝗨𝗠𝗠𝗔 π—­π—”π—›π—œπ— π—œπ—­π—ͺ𝗔 π—žπ—¨π—•π—”π——π—œπ—Ÿπ—œπ—¦π—›π—”π—‘π—” 𝗧𝗔𝗔π—₯π—œπ—™π—” π—žπ—œπ——π—œπ—π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œ π—žπ—¨π—£π—œπ—§π—œπ—” π—šπ—Όπ˜ƒπ—˜π—¦π—•

Written by Alex Sonna

Meneja Mawasiliano Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Bi. Subira Kaswaga, ametoa wito kwa taasisi za umma kujiunga na mfumo wa ubadilishanaji taarifa serikalini (GovESB) ili taasisi hizo ziweze kuwasiliana na kubadilishana taarifa kidijitali kupitia mfumo huo.

Kaswaga ametoa wito huo leo wakati alipofanya mkutano na waandishi wa Habari mkoani Mbeya, kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na e-GA kwenye maonyesho ya wiki ya wakulima ambayo kwa mwaka huu yanafanyika kitaifa jijini humo.

Alisema kuwa, mfumo wa GovESB ni shirikishi na unaziwezesha taasisi za umma kuunganisha mifumo yao ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kupitia mfumo huo ili kuweza kuzungumza na kubadilishana taarifa kidijitali.

Faida za mfumo huo ni pamoja na kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika taasisi za umma, kuokoa muda, gharama za uendeshaji wa taasisi pamoja na kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi kwa wakati, alifafanua.

β€œMfumo wa GovESB ni jitihada za Mamlaka za kuhakikisha mifumo ya TEHAMA katika taasisi za umma inazungumza na kubadilishana taarifa ili kupunguza urudufu wa mifumo serikalini, kwa sasa taasisi mbalimnbali za umma zimeunganisha mifumo yake na GovESB lakini zipo taasisi ambazo bado hazijaunganisha, hivyo nitoe wito kwa taasisi hizo kujiunga na mfumo huu wa GovESB”, alisema Kaswaga.

Alibainisha kuwa, e-GA imedhamiria kuhakikisha utekelezaji wa jitihada za Serikali Mtandao katika taasisi za umma unaimarika ili kuhakikisha taasisi za umma zinatumia TEHAMA kwenye utendaji kazi wake na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Aidha, aliongeza kuwa e-GA hushirikiana na taasisi nyingine za umma katika kutengeneza mifumo ya TEHAMA inayotumika katika taasisi hizo ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika taasisi na kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi.

β€œMamlaka imedhamiria kuhakikisha kuwa, mwananchi anapata huduma zote za serikali kidijitali mahali alipo, ili kufikia malengo hayo, tunashirikiana na taasisi mbalimbali za umma kutengeneza mifumo ya kisekta itakayosaidia utendaji kazi katika taasisi hizo na kuwasaidia wananchi kupata huduma kidijitali”, alisisitiza.

Naye Afisa TEHAMA wa e-GA Bw. Caesar Mwambani alisema kuwa, Mamlaka ya Serikali Mtandao kwa kushirikiana Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imetengeneza mfumo wa e-Mrejesho unaowawezesha wananchi kuwasiliana na serikali kidijidati.

Alisema kuwa, mfumo huo unawawezesha wananchi kuwasilisha maoni, changamoto, pongezi au malalamiko kwenda katika taasisi yoyote ya umma na kisha kufuatilia utekelezaji wake kwa njia ya kidijitali.

β€œMfumo huu unamrahisishia mwananchi kuwasiliana na serikali kidijitali na hivyo kumpunguzia gharama za kusafiri kwenda katika taasisi husika ili kuwasilisha kero yake na badala yake anaweza kuwasiliana na taasisi hiyo kupitia mfumo wa e-Mrejesho popote alipo”, alisema.

Aliongeza kuwa, mfumo wa e-Mrejesho unapatikana kupitia tovuti ya www.emrejesho.go.tz, simu janja kwa kupakua aplikesheni yake au kwa namba ya msimbo kwa kupiga *152*00# na kisha atachagua namba 9, kisha namba 2 na kuwasilisha hoja yake kwenye taasisi husika.

Mamlaka ya Serikali Mtandao imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya 2019 ikiwa na jukumu la kuratibu na kusimamia utekelezajia wa Sera, Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao katika taasisi za umma.

About the author

Alex Sonna