Featured • Kitaifa

RAIS SAMIA AWASILI UGANDA KWA ZIARA YA KITAIFA

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini humo kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, wakati wakipokea heshima ya wimbo wa Taifa wa Tanzania na Uganda baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini humo kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Heshima baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda, tarehe 18 Novemba, 2026.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebbe nchini humo kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Uganda uliongozwa na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Entebbe, tarehe 18 Novemba, 2026.

About the author

Alex Sonna