Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

smartbahis

deneme bonusu

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betpark

jojobet

meritking

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

RC MTAKA AISHAURI OFISI YA MAKAMU WA RAIS KUONGEZA WIGO WA KUTANGAZA FURSA YA BIASHARA YA KABONI

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka akipokea nyaraka mbalimbali ikiwemo Kitabu cha Historia na Chimbuko la Muungano kutoka kwa Afisa Mazingira Mwandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Lungo na Msaidizi wa Mtendaji Mkuu, Bi. Habiba Mhina mara baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane)

Na.Mwandishi Wetu-MBEYA 

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Antony Mtaka ametoa wito kwa Ofisi ya Makamu wa Rais kuendelea kutangaza fursa za Biashara ya Kaboni ili wananchi wapate mwako wa kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti hivyo kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Mhe. Mtaka ametoa rai hiyo Agosti 4, 2023 wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo ya katika Maonesho ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.

Ameshauri kutumia vyombo vya habari kuzungumzia manufaa na faida za biashara ya kaboni hususan msisitizo wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango kuhusu faida ya biashara hiyo.

Pia, Mhe. Mtaka ameshauri iandaliwe programu maalum ya vipindi vya elimu kwa umma vinavyoelimisha wananchi kuhusu fursa, manufaa na mafanikio yaliyopo katika masuala ya Muungano na hifadhi endelevu ya Mazingira.

Ameongeza kuwa vipindi vinavyozungumzia ya Muungano na Mazingira vina mchango mkubwa katika kuelimisha umma kwani na vitawawezesha Watanzania wengi kufahamu msingi na historia ya Muungano pamoja na majukumu mengine muhimu yanayotekelezwa na Ofisi hiyo.

Hali kadhalika, Mkuu wa Mkoa huyo amesema Ofisi ya Makamu wa Rais ni kubwa hivyo majukumu mahsusi inayotekeleza yanapaswa kutambulika na umma, hivyo ni muhimu kuyatangaza kwa kuandaa maudhui ya vipindi na makala mbalimbali zitakazotangazwa kupitia vyombo vya habari vya televisheni, redio na mitandao ya kijamii.

Aidha Mtaka amesema uaandaji, utengenezaji na urushaji wa vipindi vya elimu kwa umma ni moja ya njia za haraka ya kutangaza shughuli na majukumu ya Wizara ili kuweza kutambulika na kufahamika kwa wadau na jamii na hivyo kuvitaka Vitengo vya Mawasiliano Serikalini kuachana na mfumo wa kutumia matukio katika kutoa habari na taarifa kwa umma.

“Yapo masuala muhimu ya kihistoria ya Tanzania ambayo bado jamii ya Watanzania ikiwemo historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hatua inayotokana na baadhi ya watu kutopenda kujifunza, hivyo ni wajibu wa Ofisi ya Makamu wa Rais kuzalisha vipindi na machapisho mbalimbali yanayoeleza chimbuko, misingi na historia hiyo,“ amesisitiza Mkuu wa Mkoa.

Kuhusu elimu ya uhifadhi wa mazingira, Mtaka ameitaka Ofisi hiyo pia kuandaa makala na vipindi vya televisheni na redio zinazofafanua kwa undani dhana na tafsiri halisi ya biashara ya kaboni kwani biashara hiyo kwa sasa ni fursa na mkombozi wa kiuchumi kwa jamii zilizopo katika ukanda wa maeneo ya misitu nchini.

Kwa upande wake Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Lungo amemshukuru Mkuu huyo wa Mkoa kwa maoni na ushauri aliotoa kwa Ofisi hiyo kwa kuwa yatasaidia kuongeza kasi, ubunifu na ufanisi katika kujitangaza zaidi na kuhakikisha kuwa majukumu ya ofisi hiyo yanafahamika kwa wadau na umma kwa ujumla.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kutembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Maadhimisho ya Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Ijumaa (Agosti 4, 2023). Wanaoshuhudia ni Afisa Mazingira Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Lungo na Msaidizi wa Mtendaji Mkuu, Bi. Habiba Mhina

Mkuu wa Njombe, Antony Mtaka akizungumza jambo wakati alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Maadhimisho ya Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya leo Ijumaa (Agosti 4, 2023). Wanaoshuhudia ni Afisa Mazingira Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Lungo na Msaidizi wa Mtendaji Mkuu, Bi. Habiba Mhina

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka akipokea nyaraka mbalimbali ikiwemo Sera ya Taifa ya Mazingira ya 2021 kutoka kwa Afisa Mazingira Mwandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Lungo na Msaidizi wa Mtendaji Mkuu, Bi. Habiba Mhina mara baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) leo Ijumaa Agosti 4, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka akipokea nyaraka mbalimbali ikiwemo Kitabu cha Historia na Chimbuko la Muungano kutoka kwa Afisa Mazingira Mwandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Lungo na Msaidizi wa Mtendaji Mkuu, Bi. Habiba Mhina mara baada ya kutembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane)

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais muda mfupo baada ya kutembelea na kufnaya mazungumzo na watumishi hao katika Banda la Ofisi hiyo katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) leo Ijumaa Agosti 4, 2023.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

About the author

Alex Sonna