Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WAAJIRIWA SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUZINGATIA KIMA KIPYA CHA MSHAHARA

Written by Alex Sonna

 

Kamishna wa Kazi Msaidizi anayeshughulikia Mahusiano kazini Bw. Andrew Mwalwisi akitoa elimu kwa umma jijini Dodoma kuhusu sheria na miongozo ya kazi leo Julai 19, 2023.

Na: Mwandishi Wetu – Dodoma

OFISI ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Kazi imewataka waajiri wa sekta binafsi nchini kuzingatia kima kipya cha chini cha mshahara kilichotangazwa na serikali mwaka huu kwa kuwa ni takwa la kisheria.

Kima hicho kilitangazwa katika kupitia tangazo la serikali namba 687 na kilianza kutumia Januari mosi, 2023 na kimewekwa kwenye sekta kuu 13.

Kamishna wa Kazi Msaidizi, Mahusiano kazini wa Ofisi hiyo, Andrew Mwalwisi ameyasema hayo Julai 19, 2023 alipokuwa akitoa elimu kwa umma jijini Dodoma kuhusu sheria na miongozo ya kazi.

Amesema kwa sekta ya kilimo ni Sh.140,000, afya (Sh.195,000), mawasiliano imegawanyika kuna sekta ya huduma za mawasiliano (Sh.500,000), huduma za utangazaji na vyombo vya habari, posta usafirishaji vifurushi ni (Sh.225,000) kwa anayeanzia chini kabisa.

“Kazi za majumbani imekuwa changamoto kidogo ya kutoelewa kwa majumbani hii sekta imegawanyika kwenye makundi manne kuna wafanyakazi wa kazi za ndani walioajiriwa na wanadiplomasia na wafanyabiashara wakubwa wanapaswa kulipwa Sh. 250,000, kuna walioajiriwa na Maafisa wenye stahiki Sh. 200,000, kuna wanaoishi katika kaya ya mwajiri hawa ndo wengi ndo wengi wanapaswa kulipwa Sh. 120,000 na wanaokwenda na kurudi Sh.60,000,” amesema.

Alibainisha hoteli kubwa za kitalii kima cha chini ni Sh.300,000, za kati Sh. 180,000 ,migahawa, nyumba za kulala wageni na baa Sh. 150,000, ulinzi binafsi (kwa kampuni kubwa Sh.220,000 na madogo ni Sh. 148,000), sekta ya nishati (kampuni za kimataifa 592,000 na madogo ni Sh. 225,000), Usafirishaji (wa anga Sh. 390,000, utoaji mizigo na usambazaji Sh.360,000, nchi kavu kwa madereva wao wanapaswa kima cha chini kiwe Sh. 300,000 kwa mwezi.

“Kuna sekta ya ujenzi (daraja la kwanza Sh. 400,000, la pili hadi la nne sh.360,000, la tano hadi la saba Sh. 320,000),  sekta ya madini (uchimbaji na utafutaji madini Sh. 500,000, wenye leseni za wachimbaji wadogo sh. 300,000, biashara sh.450,000, madalali sh. 250,000), huduma za shule binafsi ni Sh. 207,000,  sekta ya biashara na viwanda Sh.150,000, taasisi za fedha Sh. 592,000, uvuvi na huduma ya baharini sh.238,000 na sekta nyinginezo ambazo hazijatajwa kwenye makundi hayo ni Sh. 150,000 kwa mwezi,” amesema.

About the author

Alex Sonna