Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

STAMICO YAFUNGAMANISHA SEKTA YA MADINI NA NISHATI

Written by Alex Sonna

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limepiga hatua katika  kufungamanisha sekta ya madini na nishati kwa kuongeza uzalishaji wa Nishati mbadala ya Rafiki Briquettes ili kuokoa mazingira.

Akizungumza katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam ‘Sabasaba’, Mkurugenzi wa STAMICO, Dk. Venance Mwasse amesema STAMICO imekuja katika maonesho haya ili kutoa elimu na kuonesha fursa za uwekezaji zilizomo katika miradi mbalimbali ya STAMICO sambamba na namna inavyojikita katika utunzaji wa mazingira.

Amesema kupitia mkaa wa Rafiki Briquette STAMICO imeamua kutafsiri maana halisi ya kufungamanisha sekta kwa kutengeneza nishati mbadala unaokwenda na dira ya Taifa inayotaka  asilima 80 ya watanzania kutumia nishati safi na salama ya kupikia ifikapo 2033 ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Akitoa maelezo kuhusu nishati hiyo Mratibu mradi, Mhandisi Happy Mbenyange amesema nishati hiyo ni nishati safi na salama kwa watumiaji wake kwani umeondolewa moshi, sumu, na hewa zote chafu zinazoweza kuathiri mtumiaji.

Mbenyange amesema kuwa mkaa huu unaweza kutumiwa na kila mtu hata Taasisi  kwa vile bei yake ni nafuu na umezingatia usalama wa mazingira na afya ya watumiaji.

Amewahimiza watanzania kutumia mkaa huu ili kutunza mazingira ili kuepuka athari za mabadiliko ya tabia ya nchi na kufanya nchi ya kijani.

Naye Mwenyekiti wa Foundation for Disabilities Hope, Michael Salali amesema ubunifu  wa mkaa huo una maana kubwa sana kwa watu wenye ulemavu  wa ngozi (albino) ambao ni wahaanga wa kubwa wa miale na mwanga wa jua.

Ameongeza kuwa uwepo wa mkaa huu ambao ni mbadala wa mkaa wa miti kutachangia uwepo wa na miti ya kivuli sambamba  na kuzuia uzalishaji wa hewa ukaa inayopelekea mabadiliko  ya tabia nchi.

Mkaa huo umepokelewa kwa namna ya kipekee na watanzania hasa wanaojishughulisha na upishi kwa kuwa unawasaidia sana kupunguza gharama katika manunuzi ya nishati ya kupikia.

Akizungumza kwa niaba ya baadhi ya wapishi waliotumia mkaa huo, Mary Philipo amekiri kuona manufaa ya mkaa huo na kusema umekuja kupunguza suala la ukataji miti kwa kuwa ni unadumu na hauna moshi katika kutumia hivyo unasaidia kutunza mazingira.

Ametoa wito kwa wapishi kutumia mkaa huu ili waweze kuondokana na gharama za nishati ya kupikia sambamba na kuchangia jitihada za Serikali za kupambana na uharibifu wa mazingira.

About the author

Alex Sonna