Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

SHEHENA ZA MIZIGO ZAONGEZEKA BANDARI YA TANGA

Written by Alex Sonna
Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya Uchukuzi Mha Aron Kisaka akisisitiza jambo kwa wadau mbalimbali wa huduma za Bandari Nchini ( hawapo pichani) wakati akifungua mkutano wa kamati ya maboresho ya huduma za bandari kwa bandari ya Tanga, kilichofanyika Tarehe 10 Julai,2023 Mkoani humo
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga Bw. Peter Milanzi akitoa hoja kwa wadau mbalimbali wa Bandari Nchini (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kamati ya maboresho ya huduma za bandari kwa bandari ya Tanga kilichofanyika Tarehe 10 Julai,2023 Mkoani humo

 

 
Na Mwandishi wetu-Tanga
 
Shehena za Mizigo zinazohudumiwa kupitia Bandari ya Tanga kwenda maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi zimeongezeka kwa zaidi ya asilimia 8.2 kwa kipindi cha miezi sita kuanzia January mpaka Juni, 2023
 
 
Akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Kamati ya Maboresho ya Huduma za Bandari kwa bandari ya Tanga mkoani humo kwa niaba ya Katibu Mkuu, Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya Uchukuzi Mhandisi Aron Kisaka amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa fedha kwa ajili ya kufanya maboresho makubwa kwenye Bandari ya Tanga ikiwemo kuongeza kina,magati na miundombinu ya Reli inayoingia Bandarini hapo ,kufungwa kwa mitambo mipya ya kupakia na kupakua makasha ambavyo vimechangia kuongeza shehena za mizigo kwa kuanza kuhudumiwa Meli kubwa kwenye Bandari hiyo.
 
 
Mha Kisaka amesema kwa kipindi cha miezi sita kuanzia mwezi Januari mpaka Juni, 2023 Bandari ya Tanga imeweza kuhudumia makasha 3,405 ya mizigo mbalimbali inayotoka na kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi yakiwemo makasha 141 ya shaba.
 
 
“Maboresho yaliyofanyika katika bandari hii yamechangia sana kuongeza uhudumiaji wa shehena za mizigo kwani yamesababisha muda wa meli kukaa bandarini kupungua kutoka siku 3 mpaka siku 0.8 hivyo kupunguza gharama za uendeshaji kwa watumiaji na kuvutia watumiaji zaidi na Meli kubwa kuanza kutia nanga bqandarini hapa” amesisitiza Mhandisi Kisaka
 
 
Kwa upande wake Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga Bw. Peter Milanzi amesema Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepanga kuongeza gati mpya mbili kwa ajili ya kuendelea kuboresha huduma kwenye bandari ya Tanga ambapo gati ya kuhudumia makasha itajengwa upande wa mashariki mwa bandari na gati kwa ajili ya kuhudumia abiria wa kawaida pamoja na watalii wanaokuja kutembelea maeneo mbalimbali ya vivutio vilivyomo mkoani Tanga litajengwa upande wa Magharibi ambapo utekelezaji wake utaanza mwaka huu wa fedha 2023-2024.
 
 
Naye Mdau wa Bandari nchini Bi Lilian Mbwambo kutoka Tanga Modern Clearing and Forwading company amesema mikutano ya aina hii inayowakutanisha wadau wa bandari imekuwa na tija kubwa kwa watumiaji kwani inajenga uelewa wa pamoja na kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili watumiaji na kupatiwa ufumbuzi na hii imekuwa ikivutia wawekezaji zaidi nchini na kupelekea uongezekaji wa shehena za mizigo kwani mizigo mikubwa karibu yote husafirishwa kwa njia ya maji.
 
 
Mikutano ya Maboresho ya Huduma za Bandari inayowakutanisha wadau wa Bandari Nchini kote chini ya usimamizi wa TPA hufanyika mara moja kila mwezi kwa lengo la kujadili ubora wa huduma zinazotolewa na Bandari zetu,changamoto zinazojitokeza na kupatiwa ufumbuzi ili kuongeza ufanisi wa bandari Nchini kote na kuongeza pato la Taifa.
wadau mbalimbali wa huduma za Bandari Nchini Wakimsikiliza Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya Uchukuzi Mha Aron Kisaka (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa kamati ya maboresho ya huduma za bandari kwa bandari ya Tanga kilichofanyika Tarehe 10 Julai,2023 Mkoani humo
wadau mbalimbali wa huduma za Bandari Nchini Wakimsikiliza Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya Uchukuzi Mha Aron Kisaka (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa kamati ya maboresho ya huduma za bandari kwa bandari ya Tanga kilichofanyika Tarehe 10 Julai,2023 Mkoani humo
wadau mbalimbali wa huduma za Bandari Nchini Wakimsikiliza Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya Uchukuzi Mha Aron Kisaka (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa kamati ya maboresho ya huduma za bandari kwa bandari ya Tanga kilichofanyika Tarehe 10 Julai,2023 Mkoani humo

 

About the author

Alex Sonna