Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

holiganbet

atlasbet giriş

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

norabahis

mavibet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

mavibet giriş

holiganbet

piabellacasino giriş

norabahis giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

pokerklas

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 208 KUJENGA SEKONDARI MPYA NCHINI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia dirisha, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya Mtwara Vijijini, Dkt. Matayo Malaika, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya Mtwara Vijijini, Dkt. Matayo Malaika, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Serikali imetoa zaidi ya sh. bilioni 208  ili zitumike kujenga  shule mpya za sekondari kwenye Halmashauri zote hapa nchini ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani.

Hayo yamesemwa leo (Jumamosi, Julai 8, 2023) na Naibu Waziri (OR-TAMISEMI), Deogratius Ndejembi alipopewa nafasi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa awasalimie wananchi na watumishi wa Halmashauri ya Mtwara Vijijini kwenye kijiji cha Mkunwa, wilayani Mtwara, mkoani Mtwara. 

“Halmashauri zote nchini, ziko 184 zimepatiwa kati ya sh. milioni 570 na milioni 600 za ujenzi wa shule mpya za sekondari. Tumewapa Wakurugenzi hadi Novemba, mwaka huu wawe wamekamilisha ujenzi huo ili waweze kupokea wanafunzi ifikapo Januari, 2024.”

Akizungumza na wananchi hao na watumishi mara baada ya kuweka jiwe la msingi, Waziri Mkuu amesema Serikali inatambua kuwa Halmashauri hiyo ni changa na ndiyo maana inapeleka fedha ili kuwawezesha watumishi hao watimize majukumu yao. 

Amewataka Wakala wa Majngo nchini (TBA) ambao ni wakandarasi wa mradi huo, wakamilishe majengo kwa haraka ili wananchi waanze kupata huduma. “Wananchi wanataraji kuona haya majengo yakikamilika. Kwa  hiyo tumieni mbinu ya kujenga usiku na mchana ili yakamilike mapema,” amesisitiza. 

Amewataka Mkuu wa Wilaya ya Mtwara na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, wakae na TBA na NHC ili waandae mradi wa kujenga nyumba za watumishi. “Tunataka haya yafanyike ili tukamilishe uwepo wa makao makuu ya Halmashauri yenu,” amesema. 

Akiwa njiani kuelekea Nanyamba, Waziri Mkuu alisimama kata ya Nanguruwe na kuzungumza na wananchi wa kata hiyo na kujibu masuala kadhaa yaliyoibuliwa na wananchi hao. Masuala hayo yalihusu maji, umeme, shule ya kidato cha  tano na changamoto ya tiba ya moyo kwa mtoto Zahir Akili mwenye mwaka mmoja na miezi mitano. 

Akitoa ufafanuzi wa tatizo la maji, Meneja wa RUWASA mkoa wa Mtwara, Mhandisi Primy Damas alisema Serikali imesaini mkataba wa sh. bilioni 5.7 wa kutoa maji Nanyamba hadi Nanguruwe ambao unatarajiwa kuanza kujengwa Julai, mwishoni. “Mradi huu ni wa miezi 12, ulisainiwa siku tatu zilizopita na mkandarasi tayari ameshapewa kazi,” amesema. 

Mbali na mradi huo, Mhandisi Damas alisema wameshachimba kisima kwenye hospitali ya Halmashauri iliyopo Nanguruwe na wanatarajia kufunga pampu ili wakabidhi kisima hicho. “Pia tunatarajia kujenga vizimba viwili nje ya hospitali ili visaidie kutoa maji kwa wananchi.”

Kuhusu shule ya kidato cha tano, Waziri Mkuu alisema suala hilo liko mikononi mwao  na Madiwani kupitia vikao vyao wanaweza kuamua ijengwe mpya au kuchagua shule mojawapo na kuipandisha hadhi iwe ya kidato cha tano na sita. 

Kuhusu tatizo la moyo la mtoto Zahir, Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel alimwagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dkt. Hamad Nyembea asimamie maandalizi ya mtoto huyo na mama yake kupelekwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ili afanyiwe uchunguzi zaidi. “Tiba ya moyo kama hiyo inagharimu sh. milioni 28, na huyu mama hana huo uwezo. Serikali itagharimia matibabu ya mtoto huyo.” 

Awali, mama yake Zahir, Bi. Aisha Luyenda alisema mtoto wake alibainika kuwa na tatizo la moyo kuelekea upande wa kulia wa kifua badala ya kushoto (dextrocardia) na kwamba anahitaji matibabu makubwa zaidi lakini hana uwezo. 

Waziri Mkuu alikagua pia shule ya Sekondari Dinyecha na kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika shule ya msingi Nanyamba. 

About the author

Alex Sonna