Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

BALOZI ALI KARUME AFUKUZWA UANACHA WA CCM ZANZIBAR.

Written by Alex Sonna

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Kusini Unguja kwa kauli moja imemfukuza uanachama kada na mwanachama mkongwe wa Chama hicho Ali Abeid Karume kutokana na mwenendo wake wa kukiuka maelekezo ya maadili,miongozo na nidhamu iliyoainishwa katika Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022.

Akizungumza mara baada ya kutolewa maazimio ya kikao hicho Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa huo Ali Timamu Haji, alisema maamuzi hayo yamefikiwa kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 ibara ya 89 inayoeleza kazi za Halmashauri kuu ya Mkoa inayoelekeza kuangalia mienendo ya wanachama na viongozi wa CCM wa ngazi ya Mkoa kichama na kulazimika kutoa taarifa kwa Vikao vinavyohusika ngazi za juu.

Pia Ibara ndogo ya 14 kifungu kidogo cha 14 kinaelekeza kumuachisha au kumfukuza uanachama mwanachama yeyoye endapo itadhika kwamba tabia na mwenendo wake vinamuondolea sifa za uanachama wake na mwanachama anayeachishwa au kufukuzwa uanachama anaweza kukata rufaa kwa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Katika maelezo yake Katibu wa Siasa na Uenezi huyo Ali Timamu, alifafanua kuwa baada ya kupewa na nguvu na Katiba ya CCM na kujiridhisha kwa kina juu ya madai ya kukiuka maelekezo ya kikatiba  na kupitia mapendekezo yote yaliyopokelewa kutoka ngazi za Tawi,Wadi,Jimbo na Wilaya ambazo ni ngazi za chini za Mkoa huo Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa huo imeridhia na kuridhika kwamba kutokana na kauli na vitendo vya mwanachama huyo Ali Abeid Amani  Karume wamekubaliana kumuachisha uanachama wa CCM na kumtaka arudishe kadi ya uanachama wa CCM ya kielektroniki namba C000/2809/993/1 ya tarehe 17/03/2022.

“Mwanachama huyu ameitwa na kuonywa kwa maandishi na vikao mbalimbali vya Chama Cha Mapinduzi, lakini hakutii wala kubadilisha tabia na vitendo vyake na kuendelea kukiuka kwa makusudi maadili na miongozo ya CCM hivyo kwa mamlaka tuliyopewa na Katiba yetu ngazi ya Mkoa ya CCM  Kusini Unguja kwa kauli moja tumefikia maamuzi makubaliano ya kumuachisha na kumfukuza uanachama mwanachama huyo’’, alifafanua Katibu huyo wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja.

Mwanachama na mwanasiasa mkongwe aliyewahi kushika nafasi mbalimbali za Chama na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  zikiwemo Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya,Mkoa,Mwakilishi wa kuteuliwa,Waziri Mstaafu wa Mawasiliano,ujenzi na Uchukuzi Zanzibar,Waziri wa Vijana na Michezo Zanzibar  pamoja na kuwa Balozi Mstaafu wa Tanzania mwaka 2006.

MAISHA YAKE KISIASA NA UONGOZI

Balozi Mstaafu Ali Abeid Karume alizaliwa May 24, 1950 ni mtoto wa kwanza wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume pia ni ndugu wa Rais mstaafu wa awamu ya sita wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume.

Mwaka 2005 na mwaka 2010 alijitosa katika kugombea uteuzi wa chama chake ili apeperushe bendera ya CCM kwa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini pia bahati haikuwa yake.

UZOEFU WAKE.

Akiwa na miaka 28 aliteuliwa kuwa Naibu Waziri, Wizara ya Biashara na Viwanda katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kazi aliyoishikilia kwa miaka sita (1972 – 1978) alipoomba likizo na kwenda kujiendeleza zaidi kimasomo nchini Marekani
Ali Karume ameanza kufanya kazi za kibalozi mwaka 1989 alipokuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani.

Mwaka 1993 akawa Mkurugenzi wa Idara ya masuala ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Tanzania hadi mwaka 1996 alipopelekwa Ubelgiji kuwa Balozi wa Tanzania kwa nchi za Ubelgiji, Uholanzi, Luxembourg na Umoja wa Ulaya.

Mwaka 2002 Ali akawa balozi wa Tanzania katika nchi za Ujerumani, Uswizi, na Poland sambamba na kuangalia mahusiano na nchi za Australia, Jamhuri ya Chek, Slovakia, Hungary, Romania na Bulgaria.

Kuanzia mwaka 2006 Ali karume aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania katika nchi za Italia, Ugiriki, Uturuki na Malta. Pia amekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cyprus na Mkuu wa Mabalozi wa Tanzania.

About the author

Alex Sonna