Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WABUNGE WAJIPANGA KUIMARISHA USTAWI WA JAMII NCHINI

Written by Alex Sonna

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakichangia mada mbalimbali wakati wa kikao  cha siku mbili na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum chenye lengo la kuelimisha Wadau na kupokea maoni kuhusu jinsi ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika bungeni jijini Dodoma. 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akiteta na  Mwenyekiti wa Wabunge vinara wa Ustawi wa Jamii Mhe. Neema Mwandabila wakati wa kikao cha siku mbili kilichoandaliwa  na Wizara yake chenye lengo la kuelimisha Wadau na kupokea maoni kuhusu jinsi ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika bungeni jijini Dodoma. 

Sehemu ya wajumbe wakifatilia mada mbalimbali wakati wa kikao cha siku mbili yaliyoandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum chenye lengo la kuelimisha Wadau na kupokea maoni kuhusu jinsi ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika bungeni jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Mhe. Fatma Tawfiq,akizungumza wakati wa kikao cha siku mbili kilichoandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum chenye lengo la kuelimisha Wadau na kupokea maoni kuhusu jinsi ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika bungeni jijini Dodoma. 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza mara baada ya kuhitimisha   kikao cha siku mbili kilichowakutanisha wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kilichoandaliwa  na Wizara yake chenye lengo la kuelimisha Wadau na kupokea maoni kuhusu jinsi ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika bungeni jijini Dodoma. 

Mwenyekiti wa Wabunge vinara wa Ustawi wa Jamii Mhe. Neema Mwandabila,akiipongeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii mara baada ya kupata elimu ya  siku mbili kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum chenye lengo la kuelimisha Wadau na kupokea maoni kuhusu jinsi ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii nchini

Na Mwandishi Wetu-DODOMA

Wabunge Vinara wa Huduma za Ustawi wa Jamii wametaka huduma hizo zipatikane katika maeneo na taasisi za kijamii ikiwemo Bungeni.

Wabunge hao wamesema hayo wakati wa kikao chao cha siku mbili na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum chenye lengo la kuelimisha Wadau na kupokea maoni kuhusu jinsi ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii nchini, Juni 25 – 26, 2023.

Baadhi ya wabunge waliochangia hoja katika kikao hicho, wengi wao wameishauri Serikali kuhakikisha changamoto ya uhaba wa Maafisa Ustawi wa Jamii inapatiwa ufumbuzi kutokana na mahitaji makubwa ya huduma hizo kwa zama za sasa.

“Maeneo ya pembezoni yaangaliwe pia katika huduma za ustawi wa jamii, kwa mfano mkoa wa Lindi bado kuna uhaba wa maafisa ustawi wa jamii na hasa kipindi hiki ambapo athari za mambo mengi zinaleta tatizo la afya ya akili hivyo, maafisa hawa wanatakiwa kusaidia watu” amesema Mhe. Tekla Ungele.

Naye Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt.Pius Chaya ameeleza kuwa Huduma za Ustawi wa Jamii zimejikita zaidi kwenye Vituo vya Afya kuliko kwenye jamii ambapo ameshauri Maafisa Ustawi wa Jamii wapatikane pia ndani ya jamii.

Aidha, katika kikao hicho kilichohusisha pia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, wabunge wameshauri kuwa na mpango mzuri wa kuwekeza kwenye akili za watoto wadogo kuanzia ngazi ya awali ili kutengeneza jamii iliyoimarika hapo baadaye.

Kwa upande wake Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amebainisha kuwa, tayari Ofisi ya Rais TAMISEMI imeshazielekeza Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha zinajadili kwenye vikao vyote vya Halmashauri masuala yote yanayohusu huduma za Ustawi wa Jamii ikiwemo masuala ya maadili na vita dhidi vitendo vya ukatili.

Ameongeza kuwa, ajenda hiyo inatakiwa kujadiliwa kwa umuhimu wake kama ilivyo kwa Ajenda nyingine za maendeleo.

“Tutafuatilia kweli kila robo mwaka kama maelekezo haya yamefanyiwa kazi kwenye vikao vyote hadi hiyo ‘Full Council’ kwa sababu wasipoongea huko chini hakuna kitu kitaendelea huku ngazi ya juu” amesema Waziri Dkt. Gwajima.

About the author

Alex Sonna