Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

google

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat giriş

meritking

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

avrupabet

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet

kavbet

luxbet

pashagaming

casinoroyal

wonodd

almanbahis giriş

norabahis

artemisbet

piabellacasino

casinoroyal

almanbahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

jojobet

casibom

ultrabet

goldenbahis

jojobet

jojobet

casibom

casibom

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

perabet

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

maxwin

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

Featured Kitaifa

WAZIRI KAIRUKI AAGIZA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA AFYA KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki akifungua kikao kazi cha Waganga Wakuu na Waratibu wa UKIMWI wa Halmashauri kinachoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mount Meru.

Sehemu ya washiriki wa kikao kazi cha Waganga Wakuu na Waratibu wa UKIMWI wa Halmashauri wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Angellah Kairuki (hayupo pichani) wakati akifungua kikao kazi cha watendaji hao jijini Arusha.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki kufungua kikao kazi cha Waganga Wakuu na Waratibu wa UKIMWI wa Halmashauri kinachoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mount Meru.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge – TAMISEMI Mhe. Denis Londo (Mb) akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha Waganga Wakuu na Waratibu wa UKIMWI wa Halmashauri kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki kufungua kikao kazi watendaji hao katika sekta ya afya.

Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI anayeshugulikia Afya Dkt. Charles Mahera akieleza lengo la kikao kazi cha Waganga Wakuu na Waratibu wa UKIMWI wa Halmashauri, kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki kufungua kikao kazi watendaji hao katika sekta ya afya.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki (katikati) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI anayeshugulikia Afya Dkt. Charles Mahera akieleza lengo la kikao kazi cha Waganga Wakuu na Waratibu wa UKIMWI wa Halmashauri. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge – TAMISEMI Mhe. Denis Londo (Mb).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki akizindua rasmi Mfumo wa Mshitiri mara baada ya kufungua kikao kazi cha Waganga Wakuu na Waratibu wa UKIMWI wa Halmashauri kinachoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mount Meru jijini Arusha.

Na James Mwanamyoto, OR- TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Wilaya na Waganga Wafawidhi wa vituo vya afya nchini kuongeza uwajibikaji katika usimamizi wa huduma za afya.

Mhe. Kairuki ametoa maelekezo hayo leo jijini Arusha alipokuwa akifungua kikao kazi cha watendaji hao wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Waratibu wa UKIMWI na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI kinacholenga kuongeza ufanisi kiutendaji.

Waziri Kairuki amewataka watendaji hao kuhakikisha fedha zilizotolewa na Serikali katika sekta ya afya zinatumika ipasavyo katika kuboresha huduma za afya nchini.

“Ni vema mkahakikisha kwamba vituo vyote vya kutolea huduma za afya vilivyokamilika vinaanza kutoa huduma ili kuwapunguzia gharama na adha wananchi ya kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya kufuata huduma,” Mhe. Kairuki amesisitiza.

Aidha, Mhe. Kairuki amesema moja ya kigezo kitakachotumika kupima utendaji kazi wa watendaji hao ni pamoja na kusimamia kikamilifu vituo vya afya kutoa huduma bora kwa wananchi.

Mhe. Kairuki amewataka watendaji hao kuhakikisha mifumo iliyopo ya kiutendaji inafanyakazi kwa ufanisi katika sekta ya afya ukiwepo Mfumo wa Dharula wa Rufaa wa M-Mama uliozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mwezi Aprili 2022 ambao umepunguza vifo vya mama na mtoto, akitoa mfano kwa mkoa wa Shinganga ambao vifo kwa upande wa akina mama vimepungua kwa asilimia 38 na kwa watoto ni asilimia 45.

Naye, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Denis Londo amewataka washiriki wa kikao kazi hicho kuweka mkakati madhubuti wa kulinda na kuendelea kuboresha afya ya kila mtanzania.

Pia, Mhe. Londo amesisitiza uwajibikaji wa watendaji hao wa afya katika kusimamia miradi ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele kutafuta fedha ili wananchi wanufaike na huduma za afya.

Awali, Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI anayeshugulikia Afya Dkt. Charles Mahera amesema kikao kazi hicho cha siku mbili kina lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji na uelewa wa pamoja watendaji hao wa sekta afya katika utekelezaji wa utoaji wa huduma za afya katika ngazi ya msingi kwenye Halmashauri.

Kadhalika, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amewapongeza watendaji hao wa sekta ya afya kwa kuendelea kuwahudumia wananchi katika maeneo yao ya kazi.

About the author

Alex Sonna