Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

mavibet

superbetin

superbetin

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pusulabet, pusulabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

coinbar

coinbar

maxwin, maxwin giriş

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

betewin

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

jojobet güncel giriş

marsbahis

nakitbahis

bets10

jojobet

tambet

ultrabet

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

timebet

deneme bonusu veren siteler

coinbar

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

fenomenbet, fenomenbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

https://www.betulazra.com/

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

perabet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

imajbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA TAASISI ZA UMMA

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati akifungua maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

 

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro,akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende,akielezea maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi,akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi.Sarah Mwaipopo ,akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi.Rosemary Senyamule,akitoa salamu za mkoa wake wakati wa maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati akifungua maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mercy Kiambe ambaye ni Mkurgenzi Msaidizi na Mdhibiti wa Ubora wakati alipotembelea banda la Wakili Mkuu wa Serikali katika Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika leo Juni 5,2023 jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua  Jarida Maalum la Miaka  Mitano ya Ofisi ya Wakili wa Serikali .Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt  Boniface Luhende na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi.leo Juni 5,2023 jijini Dodoma. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha  Jarida Maalum la Miaka  Mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kulizindua kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 5, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt  boniface Luhende na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ya kutambua mchango wake katika kuanzishwa kwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kabla ya kuzungumza katika Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 5, 2023. Katikati ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniface Luhende.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali yanayofanyika jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa,amezitaka taasisi zote za umma zenye mawakili wa serikali kuzingatia suala la utatuzi wa kero za wanachi ili kuepuka mrundikano wa mashauri ambayo hayana ulazima wa kuyafikisha Mahakamani.

Majaliwa, ameyasema hayo leo Juni 5,2023 jijini Dodoma wakati akifungua maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanazishwa kwa Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali na ufunguzi wa mafunzo kwa mawakili wa serikali.

“Mawakili wa serikali ongezeni bidii,juhudi weledi katika utendaji kazi wenu, fanyeni kazi kwa uzalendo kuweni wabunifu katika kuishauri serikali ipasavyo kuhusu mashauri yaliyopo na timizeni wajibu wenu”amesema Majaliwa

Aidha amesema kuwa ili kuhakikisha kuwa serikali inaendelea kuimarisha diplomasia ya uchumi na kuendelea kujenga mazingira shindani ya kuvutia wawekezaji kwa ajili ya maendeleo Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali kwa kushirikiana na Idara,wizara na taasisi za serikali zitumie kila fursa ya utatuzi wa migogoro kwa njia ya majadiliano.

Wizara, Idara na Taasisi za Serikali fanyeni kazi kwa karibu Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali katika uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi yanayohusu Serikali kwani ndiyo yenye mamlaka ya kisheria ya kusimamia mashauri yanayohusu Serikali na Taasisi zake ndani na nje ya nchi.“

Majaliwa amesisitiza kuwa nchi yetu bado inahitaji wawekezaji katika kuchangia kwa haraka ukuaji wa uchumi na kuongeza pato la taifa letu.

Kwa upande wake Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika kipindi cha miaka mitano tangu kuanzishwa kwa ofisi hiyo ambayo inafanya kazi kwa weledi.

”Ofisi hiyo imeisadia serikali kuokoa kiasi cha Sh. trioni 7.57 kutoka na kumaliza mashauri yake kwa njia ya usuluhi.”amesema Dkt.Ndumbaro

Awali Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende amesema baada ya uzinduzi huo wanatarajia kuendesha mafunzo ya siku tatu kwa Mawakili wa Serikali zaidi ya 600 ili kuwaongezea ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Dkt.Luhende amesema tangu kuanzishwa kwa ofisi hiyo serikali imepata uwakilishi wa uhakika kwenye mashauri mblimbali ambayo yamekuwa yakifunguliwa dhidi yake na kwa gharama nafuu ndani na nje ya nchi.

“Katika kipindi cha miaka mitano hadi kufikia Mai 31, 2023 ofisi imeendesha jumla ya mashauri 7162 kati ya hayo mashauri 7025 ni ya madai na 137 ni ya usukuhushi katika mwaka wa fedha 2022/23 hadi Aprili mwaka huu Ofisi hii ilimaza mashauri ya madai 518 na kati yake 45 yaliisha kwa majadiliano na mashauri 15 ambapo kati ya hayo sita yalisha kwa majadiliano”amesema Dkt.Luhende 

About the author

Alex Sonna